Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,798
- 9,413
Bajeti ya 700 napata fridge Gani zuri?Lita 322
1,350,000/=
Naishi kibachela ila nataka niwe napika vyakula vya mwezi mzima
Bajeti ya 700 napata fridge Gani zuri?Lita 322
1,350,000/=
Hisense RD 27 205L 710,000/=Bajeti ya 700 napata fridge Gani zuri?
Naishi kibachela ila nataka niwe napika vyakula vya mwezi mzima
Hisense 177L 650,000/=Bajeti ya 700 napata fridge Gani zuri?
Naishi kibachela ila nataka niwe napika vyakula vya mwezi mzima
Mruk comb fridge 167L 650,000/=Bajeti ya 700 napata fridge Gani zuri?
Naishi kibachela ila nataka niwe napika vyakula vya mwezi mzima
Kati ya hili na rd27 lipi zuri?Hisense 177L 650,000/=View attachment 3454073
Hii ni 167L..mbn kama inaonekan kubwa kuliko hzo Hisense?Mruk comb fridge 167L 650,000/=View attachment 3454075
Ndani lipo hiviHii ni 167L..mbn kama inaonekan kubwa kuliko hzo Hisense?
Inategemea unapendelea double door au singleKati ya hili na rd27 lipi zuri?