Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,442
- 8,074
- Thread starter
-
- #101
Mkuu kiasi cha fedha unacho andika uwe unaweka mikato mfano hii 360,000/=.
shukran sanaMkuu kiasi cha fedha unacho andika uwe unaweka mikato mfano hii 360,000/=.
Asante
Shop ni kariakoo,Ndanda na Tandamti karibu sanashop likiwa lako tutapata bei murua, ila kama winger tutegemee bei za kidalali
Ni 600k boss,unaletewa popote ulipoFreezer ya Boss, 150L ni bei gani?
Mnafanya delivery?