INAUZWA Tunauza, kufunga na kufanya marekebisho ya visimbuzi aina zote, pamoja na CCTV Camera na Uzio wa Umeme

Joined
Dec 30, 2010
Posts
69
Reaction score
50
Kwa Tsh 77,000 tu!!

Unapata: Dish, Decoder HD, Cable, ( vifaa vyote ), kifurushi Cha family cha Tsh 29,900 na unapata fundi wa kukufungia bila kulipa gharama ya ziada!!
Ili kupata offer hii piga 0789476655 WhatsApp +255784378129
Offer hii ni kwa Dar pekee!!

Mengineyo yote kuhusu DStv Kama:-
•Kulipia
•Vifurushi
•Mafundi
•Kununua

IMG-20210824-WA0027.jpg
 
Dstv mmepoteza mwelekeo ktk soko kwa sasa. Ukiachana na mpira sijaona vipindi vingine vya maana ambavyo vinakonga nyoyo hadhira ya Kitanzania.
Ukiachilia local channels ambazo zipo nje ya uwezo wa kampuni ingawaje kampuni Kama kampuni haijakata tamaa bado inaendelea kuzipambania ili zirejee ni ki/vipindi gani ambavyo unahisi vinakosekana mpaka kushindwa kukonga nyoyo zenu!!??
 
Ingieni mtaaani mfanye research kama wenzenu Azam then mtapata majibu. Binafsi nilikuwa mteja wenu kwa almost 12 years lkn mwaka huu nimeona hapana kwa kweli
 
Binafsi najua vizuri uzuri na weakness za VISIMBUZI vyote Tanzania..!!
Labda ningesikia kilichokuhamisha DStv pengine tungeelimishana kitu hapa!
Kama una AZAM nistue hii kitu moja nimepiga chini zilikuwa mbili.
1. Hakuna uhakika wa chaneli za bando zao watakata anytime without notification.
2.Wiki moja nyuma unalipa napata E 16 ukipiga simu kupata msaada hawapo.
3. Zaidi ya mpira, Natgeo, discovery, cartoon ,news hakuna documentary za maana movie ni bure zaidi narudia kila siku hata kwa mwaka au miaka.

Dstv bure. Pamoja survey walikuwa wanatupigia kupata rating niliwapa 1
 
DStv Haina kifurushi ambacho kinakata bila mwezi kuisha.. ikitokea kifurushi kinakata kabla mwezi kuisha lazima kuwe na sababu, ujumbe ulioupata ulikuwa unasemaje? Je ikitokea kwa Mara moja ama kila mwezi? Ama baada ya kutokea issue hiyo ulipiga simu huduma kwa wateja n ukaambiwa tatizo Ni Nini?
Hawa jamaa ni bure kabisa wako kiupigajipaji tu, mara wakate chaneli bila hata taarifa.
 
DStv Haina kifurushi ambacho kinakata bila mwezi kuisha.. ikitokea kifurushi kinakata kabla mwezi kuisha lazima kuwe na sababu, ujumbe ulioupata ulikuwa unasemaje? Je ikitokea kwa Mara moja ama kila mwezi? Ama baada ya kutokea issue hiyo ulipiga simu huduma kwa wateja n ukaambiwa tatizo Ni Nini?
Soma juu
 
Kama una AZAM nistue hii kitu moja nimepiga chini zilikuwa mbili.
1. Hakuna uhakika wa chaneli za bando zao watakata anytime without notification.
2.Wiki moja nyuma unalipa napata E 16 ukipiga simu kupata msaada hawapo.
3. Zaidi ya mpira, Natgeo, discovery, cartoon ,news hakuna documentary za maana movie ni bure zaidi narudia kila siku hata kwa mwaka au miaka.

Dstv bure. Pamoja survey walikuwa wanatupigia kupata rating niliwapa 1

Kama una AZAM nistue hii kitu moja nimepiga chini zilikuwa mbili.
1. Hakuna uhakika wa chaneli za bando zao watakata anytime without notification.
2.Wiki moja nyuma unalipa napata E 16 ukipiga simu kupata msaada hawapo.
3. Zaidi ya mpira, Natgeo, discovery, cartoon ,news hakuna documentary za maana movie ni bure zaidi narudia kila siku hata kwa mwaka au miaka.

Dstv bure. Pamoja survey walikuwa wanatupigia kupata rating niliwapa 1
Swala la kukata hapa tunaweza kukaa sana..
1.Inawezekana system ikafail channels zikakata ( sikatai Ila huwa Ni badra sana n ndo maana hata tukiomba kusikiliza malalamiko ya wateja wa DStv Kati ya wateja kumi inawezekana ukawa wewe tu kuhusu hiyo issue ya kukata channels kabla mwezi kuisha ) Ila unaweza ukazirejesha hata wewe mwenyewe bila hata kutupigia simu kwa kubofya *150*53#
2.Zinaweza zikakata kwasababu maalum pengine unatumia kwa matumizi ya biashara haliyakuwa a/c yako ni ya nyumbani!
3.Wakati mwengine signal kuwa weak Ni sababu pia
4.Kwa channels tukianzia quality ya picha hakuna kisimbuzi chenye quality Kama DStv na kuhusu urudiwaji wa movie inategemea na kifurushi na tunazingatia wapo ambao wanakosa kuona muda ambao inaonyeshwa kwa Mara ya kwanza ndio maana tuna channels zaidi ya 5 za movie..
Bado DStv inaendelea kuwa Bora ingawaje hatuwezi kumfurahisha kila mmoja ijapokuwa tunachukua Naomi katika kuboresha huduma zetu!
 
Binafsi najua vizuri uzuri na weakness za VISIMBUZI vyote Tanzania..!!
Labda ningesikia kilichokuhamisha DStv pengine tungeelimishana kitu hapa!
Mkuu usitumie nguvu kubwa sana kuitetea dstv kwa sasa, in fact imepoteza sana mvuto tangu watoe local chanel + gharama za vifurushi ni kubwa sana.

Ukilipia 19900/= chanel za maana unazopewa hata tatu hazifiki, wakati upande wa star times mfano, ukilipia 21k ndio kifurushi chao cha juu na unapewa chanel karibia zote na local channels juu.

Nimekua dstv tangu 2014 ila saiz nimekiweka tu ndani maana nimetafuta wateja hata kwa 30k lakini sijapata hadi leo
 
Wee muache aendelee kuisifu nilikuwa na Dstv visimbusi 2, nimebakisha 1 nayo najiuliza nipige chini, nalipa 29900 lkn hajuna chaneli za maana.

Anasema unaweza kurudisha chaneli zako kwa 150*53 lkn kinakuarifu hakuna huduma.

Chanels za ovyo , ndio maana sasa hivi wako mtaani wanatembeza sio kama zamani.

Kama kuna mtu anakitaka hiki changu anipe AZAM nimpe.

Iko siku watawatafuta wateja kwa Tochi.
Quality ya picha hiyo OK.
Lkn value for Money ni Zero
 
Back
Top Bottom