Mustapha maDish
Member
- Dec 30, 2010
- 69
- 50
Unataka uwe unaangalia tamthilia?Halafu Dstv vifurushi ghali na hakuna local channels.
Hatutaki
Ukiachilia local channels ambazo zipo nje ya uwezo wa kampuni ingawaje kampuni Kama kampuni haijakata tamaa bado inaendelea kuzipambania ili zirejee ni ki/vipindi gani ambavyo unahisi vinakosekana mpaka kushindwa kukonga nyoyo zenu!!??Dstv mmepoteza mwelekeo ktk soko kwa sasa. Ukiachana na mpira sijaona vipindi vingine vya maana ambavyo vinakonga nyoyo hadhira ya Kitanzania.
Ingieni mtaaani mfanye research kama wenzenu Azam then mtapata majibu. Binafsi nilikuwa mteja wenu kwa almost 12 years lkn mwaka huu nimeona hapana kwa kweliUkiachilia local channels ambazo zipo nje ya uwezo wa kampuni ingawaje kampuni Kama kampuni haijakata tamaa bado inaendelea kuzipambania ili zirejee ni ki/vipindi gani ambavyo unahisi vinakosekana mpaka kushindwa kukonga nyoyo zenu!!??
Binafsi najua vizuri uzuri na weakness za VISIMBUZI vyote Tanzania..!!Ingieni mtaaani mfanye research kama wenzenu Azam then mtapata majibu. Binafsi nilikuwa mteja wenu kwa almost 12 years lkn mwaka huu nimeona hapana kwa kweli
Tunauza DStv ukinunua unaona sura ya fundi 😁Ndio.maana kafunika kofia, ataficha wapi sura yake kama atakaefungiwa itaanza kumbana.
Kama una AZAM nistue hii kitu moja nimepiga chini zilikuwa mbili.Binafsi najua vizuri uzuri na weakness za VISIMBUZI vyote Tanzania..!!
Labda ningesikia kilichokuhamisha DStv pengine tungeelimishana kitu hapa!
Hawa jamaa ni bure kabisa wako kiupigajipaji tu, mara wakate chaneli bila hata taarifa.
Soma juuDStv Haina kifurushi ambacho kinakata bila mwezi kuisha.. ikitokea kifurushi kinakata kabla mwezi kuisha lazima kuwe na sababu, ujumbe ulioupata ulikuwa unasemaje? Je ikitokea kwa Mara moja ama kila mwezi? Ama baada ya kutokea issue hiyo ulipiga simu huduma kwa wateja n ukaambiwa tatizo Ni Nini?
Kama una AZAM nistue hii kitu moja nimepiga chini zilikuwa mbili.
1. Hakuna uhakika wa chaneli za bando zao watakata anytime without notification.
2.Wiki moja nyuma unalipa napata E 16 ukipiga simu kupata msaada hawapo.
3. Zaidi ya mpira, Natgeo, discovery, cartoon ,news hakuna documentary za maana movie ni bure zaidi narudia kila siku hata kwa mwaka au miaka.
Dstv bure. Pamoja survey walikuwa wanatupigia kupata rating niliwapa 1
Swala la kukata hapa tunaweza kukaa sana..Kama una AZAM nistue hii kitu moja nimepiga chini zilikuwa mbili.
1. Hakuna uhakika wa chaneli za bando zao watakata anytime without notification.
2.Wiki moja nyuma unalipa napata E 16 ukipiga simu kupata msaada hawapo.
3. Zaidi ya mpira, Natgeo, discovery, cartoon ,news hakuna documentary za maana movie ni bure zaidi narudia kila siku hata kwa mwaka au miaka.
Dstv bure. Pamoja survey walikuwa wanatupigia kupata rating niliwapa 1
Mkuu usitumie nguvu kubwa sana kuitetea dstv kwa sasa, in fact imepoteza sana mvuto tangu watoe local chanel + gharama za vifurushi ni kubwa sana.Binafsi najua vizuri uzuri na weakness za VISIMBUZI vyote Tanzania..!!
Labda ningesikia kilichokuhamisha DStv pengine tungeelimishana kitu hapa!
Wee muache aendelee kuisifu nilikuwa na Dstv visimbusi 2, nimebakisha 1 nayo najiuliza nipige chini, nalipa 29900 lkn hajuna chaneli za maana.Mkuu usitumie nguvu kubwa sana kuitetea dstv kwa sasa, in fact imepoteza sana mvuto tangu watoe local chanel + gharama za vifurushi ni kubwa sana.
Ukilipia 19900/= chanel za maana unazopewa hata tatu hazifiki, wakati upande wa star times mfano, ukilipia 21k ndio kifurushi chao cha juu na unapewa chanel karibia zote na local channels juu.
Nimekua dstv tangu 2014 ila saiz nimekiweka tu ndani maana nimetafuta wateja hata kwa 30k lakini sijapata hadi leo