Tunauza Kuku aina ya Kuroiler tupo Bunju "A" Kituo kwa Baharia

Tunauza Kuku aina ya Kuroiler tupo Bunju "A" Kituo kwa Baharia

Joined
Oct 6, 2021
Posts
11
Reaction score
6
Tunauza kuku aina ya Kuroiler F1, tunapatikana Bunju A, kituo "kwa Baharia", jirani na Kituo cha Mafuta cha GUDAL.

Bei ni kuanzia 14,500-18,000..kutokana na uzito wa kuku. Bei ya jumla kuanzia kuku 10 tunafanya 15,000. Weka oda yako mapema na karibu tukuhudumie kwa uaminifu kabisa.

Mawasiliano:
Piga/tuma ujumbe/WhatsApp kwa Namba hizi:- +255755297360/+255717974860

AGM Kuku Farm.
Bunju A & Bagamoyo.

Screenshot_20220206-115615_Gallery.jpg
 
Wanakula hao mchwa chamtoto , kuwafuga kwa wingi inatakiwa uwe na mtaji wa kutosha wa chakula na dawa
 
Ndio buy at your own risk
Ni kuku bora, wenye nyama nyingi, watamu, wenye kuhimili magonjwa na watagaji wazuri. Kuhusu risk kwenye biashara hata kwa kinyozi ipo, usiwatishe watu katika kutafuta maisha. Njoo tukuhudumie ndugu, usijiwekee vigingi kwa habari za kusikia, mbona sisi tumefuga na sasa tunakuuzia?
 
Habari!

Tunauza kuku aina ya Kuroiler F1(Ni chotara, wazito na wamejaza minofu), tunapatikana Bunju A, kituo "kwa Baharia", jirani na Kituo cha Mafuta cha GUDAL.

Bei ni kuanzia 14,500-18,000..kutokana na uzito wa kuku. Bei ya jumla kuanzia kuku 10 tunafanya 15,000. Weka oda yako mapema na karibu tukuhudumie kwa uaminifu kabisa.

Mawasiliano:
Piga/tuma ujumbe/WhatsApp kwa Namba hizi:- +255755297360/+255717974860

AGM Kuku Farm.
Bunju A & Bagamoyo.

IMG-20220207-WA0015.jpg

IMG-20220207-WA0024.jpg

IMG-20220207-WA0028.jpg

Screenshot_20220206-115615_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom