Computer4Sale Tunauza Laptop, tupo Kariakoo

Computer4Sale Tunauza Laptop, tupo Kariakoo

Gpu ikiwa kubwa na cpu ikiwa bado unaweza kucheza games japo kutakuwa kuna bottleneck ya kupoteza fps kwa baadhi ya games
Hiyo ni mfano wa pc yenye i5 2400 na gtx rtx 2070 na inaonyesha kuwa ni muunganiko mzuri kwa 70%.

Watu watangeneza gaming desktop kwenye pc 4th gen kwa kutumia geforce 820A GPu na bado gharama zinazidi laki 5

Gtx 1060 kwa pc yenye gen 7 ni aina ya pc itakayocheza game nyingi tena bila ya kushusha setting.

Hii pc hata ukiamua utengeneze mwenyewe kwa desktop yenye 7th gen bado itakugharimu
Speed ya pc inatokana na ukubwa wa CPU,sasa unachezaje game kubwa wakati huna speed?
 
Speed ya pc inatokana na ukubwa wa CPU,sasa unachezaje game kubwa wakati huna speed?
Execution ya game(graphics na videos) hufanyika kwenye gpu kama gpu iliyopo kwenye pc ina uwezo mdogo haiwezi play games nyingi mpaka uweke low setting.

Unavyosema spidi unaamaanisha nini?

Moja gpu hufanya shading(color, texturing, vertex, 3d drawing)

Kwa mfano, Nvidia rtx 2070 imeundwa kwa tech 12nm ina transistors 10bil

Inaweza kufanya shaders 2560.

Ina ram yenye channel 6 GDDR6
Kwa kifupi calculations zote za graphic kwenye pc hufanyika kwenye gpu

Kama motherboard inasupport gpu husika cpu hata ikiwa ndogo games zitafunguka vizuri.
 
Execution ya game(graphics na videos) hufanyika kwenye gpu kama gpu iliyopo kwenye pc ina uwezo mdogo haiwezi play games nyingi mpaka uweke low setting.

Unavyosema spidi unaamaanisha nini?

Moja gpu hufanya shading(color, texturing, vertex, 3d drawing)

Nvidia rtx 2070 imeundwa kwa tech 12nm ina transistors 10bil

Inaweza kufanya shaders 2560.

Ina ram yenye channel 6 GDDR6
Kwa kifupi calculations zote za graphic kwenye pc hufanyika kwenye gpu

Kama motherboard inasupport gpu husika cpu hata ikiwa ndogo games zitafunguka vizuri.
Kwa hiyo mkuu message yako ni kwamba CPU haina kazi kubwa katika kuplay game?Mimi shida yangu iko hapo tu! Chief-Mkwawa naomba msaada wako hapa,ni kweli kwamba ukiwa na GPU kubwa lakini ukawa na CPU ndogo sana game zote kubwa kubwa utaplay bila shida yoyote?
 
Cpu na Gpu vinaenda sambamba, cpu ikiwa ndogo sana ita throttle gpu and vice versa is true.

Zipo games ambazo ni cpu intensive, ili ucheze kwa Fps za kutosha inabidi uwe na Cpu ya maana.
 
Speed ya pc inatokana na ukubwa wa CPU,sasa unachezaje game kubwa wakati huna speed?

Penda kuwjifunza zaid gaming pc ni very expensive dunian kote laki 5 sasa ndo uchafu ghan kununua gaming pc au umezoea kunua hp za wanafunz zile
 
Lenovo Legion Y7000

PROCESSOR / CHIPSET
CPU: Intel Core i7 (8th Gen) 8750H / 2.2 GHz
Max Turbo Speed: 4.1GHz
Number of Cores: 6-Core
Features: integrated memory controller

RAM
Memory Speed: 2666 MHz
Technology: DDR4 SDRAM
Installed size: 16Gb
Rated Memory Speed: 2666 MHz

DISPLAY
LCD Backlight Technology: LED backlight
Widescreen Display: Yes
Image Aspect Ratio: 16:9
Monitor Features: 72% color gamut, Dolby Vision, anti-glare
Type: LED
Display Resolution Abbreviation: 1920*1080 Full HD

AUDIO & VIDEO
Multi-GPU Configuration: 1 single GPU card / integrated GPU
Graphics Processor: NVIDIA GeForce GTX 1060 6Gb / Intel UHD Graphics 630
Sound: Stereo speakers, dual array microphone
Audio Codec: Realtek ALC3286

HARD DRIVE
Type: SSD
Capacity: 512Gb
Hard Drive Features: NVM Express (NVMe)

CONNECTIONS & EXPANSION
Interfaces: USB 3.1 Gen 1 (Always On)
USB 3.1 Gen 1
USB 3.1 Gen 2
USB-C 3.1 Gen 2/Thunderbolt 3/DisplayPort 1.4
HDMI
Mini DisplayPort
LAN
Headphone/microphone combo jack

MISCELLANEOUS
Color: Black
Features: administrator password, hard drive password, power-on password 
Compliant Standards

AUDIO OUTPUT
Compliant Standards: Dolby Atmos, High Definition Audio

BATTERY
Capacity: 57 Wh
Technology: lithium ion
Run time( Up to) 6 hours

New[emoji736]

Price Tzs 3,350,000/=[emoji736]

Duka lipo Njia ya Survey Jirani na Mlimani City Mall[emoji736]

[emoji338]0784545494

9aaeb370-eb41-46c9-9586-11ef1a3cf74d.jpg

95489366-5540-4b99-bc5d-cee2be049713.jpg

f7a7a9f6-74ec-434f-813a-f0b27f8b4076.jpg
 
Acer Predator Helios 300

PROCESSOR / CHIPSET
CPU: Intel Core i7 (7th Gen) 7700HQ / 2.8 GHz
Max Turbo Speed: 3.8GHz
Number of Cores: Quad-Core
64-bit Computing: Yes
Features: Intel Turbo Boost Technology 2.0

RAM
Configuration Features:
Technology: DDR4 SDRAM
Installed Size: 16Gb
Form Factor: SO-DIMM 260-pin

DISPLAY
LCD Backlight Technology: LED backlight
Resolution: 1920 x 1080 (Full HD)
Widescreen Display: Yes
Image Aspect Ratio: 16:9
Monitor features: 25 ms response rate, Acer BluelightShield technology, ComfyView, anti-glare
Type: LED
TFT Technology: IPS
Diagonal Size (metric): 39.6 cm
Display Resolution Abbreviation: Full HD

AUDIO & VIDEO
Graphics processor: NVIDIA GeForce GTX 1060
Sound: Stereo speakers, two microphones

HARD DRIVE
Type: SSD
Capacity: 512Gb

INPUT
Type: keyboard, touchpad
Localization & Layout: US International
Features: Acer PredatorSense, red backlighting

CONNECTIONS & EXPANSION
Interfaces: LAN
HDMI
USB 3.0 (with power off charging)
USB-C 3.1 Gen 1
2 x USB 2.0
Headphone/microphone combo jack

Memory Card Reader: Yes (SD Card)

MISCELLANEOUS
Color: obsidian black
Case Material: anodized aluminum
Features: AeroBlade fan, built-in 2 cooling fans

BATTERY
Capacity: 48Wh
Cells- 4-cell
Technology: lithium polymer
Run time (Up to) 8 hours

New[emoji736]

Price Tzs 3,150,000/=[emoji736]

Tupo Njia ya Survey Jirani na Mlimani City Mall[emoji736]

[emoji338]0784545494
9e2119cd-c280-4a36-8126-ef61ae95353a.jpg

bb1c49f9-4468-4dc0-8f4d-3fa9769cc37c.jpg

3e58d7f4-03d2-41c0-bea1-1fb6cbf14cf6.jpg
 
Kujifunza ni kitu kizuri sana... Mtu anayesema hawezi kutoa zaidi ya laki nne kwa pc used na hawezi kutoa laki 7 ka pc mpya ni mtu asiyefahamu anachozungumza.

Gaming PC zipo kwenye class ya high end PCs, ni computer zenye uwezo mkubwa sana na specifications zake ni za juu. Cha pili ni kuwa hizi computer sio kwa ajili ya gaming tu, zinaweza kutumika kwa jili ya kuchorea ramani za majengo (architecture, kupitia program kama AUTOCAD), kufanya video editing za 4K (lazma uwe na highe end pc), kufanya rendering ya 3D animations lazima uwe uwe computer ya namna hii.

Pia computer hizi hata ukisema uunde mwenyewe kwa kununua parts mbalimbali bado gharama itakuwa juu. PC za laki kadhaa hazina ishu ni za kuchapa barua, kuangalizia movie na kuingia facebook.

PC ninayoenda kununua mimi later this year inagharimu 3.8 Mil za kiTanzania.

Ushauri:
Unapoona kitu chochote kinauzwa bei kubwa, ULIZA. Never ever base judgement ya kitu kwa kuona kina gharama kubwa. BTW... cheap is always expensive.
 
Mzee shukrani sana kwa huu ujumbe
 
Back
Top Bottom