Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Speed ya pc inatokana na ukubwa wa CPU,sasa unachezaje game kubwa wakati huna speed?Gpu ikiwa kubwa na cpu ikiwa bado unaweza kucheza games japo kutakuwa kuna bottleneck ya kupoteza fps kwa baadhi ya games
Hiyo ni mfano wa pc yenye i5 2400 na gtx rtx 2070 na inaonyesha kuwa ni muunganiko mzuri kwa 70%.RTX 2070 benchmark with i5-2400 1080p, 1440p, Ultrawide, 4K benchmarks at Ultra Quality
RTX 2070 benchmark with i5-2400 at Ultra Quality settings in 51 games and fps benchmarks in 1080p, 1440p, and 4K. Find out the RTX 2070 equivalent, with a review of specifications, price, RTX 2070 framerate comparison, RTX 2070 rank, and CPU bottlenecks.www.gpucheck.com
Watu watangeneza gaming desktop kwenye pc 4th gen kwa kutumia geforce 820A GPu na bado gharama zinazidi laki 5
Gtx 1060 kwa pc yenye gen 7 ni aina ya pc itakayocheza game nyingi tena bila ya kushusha setting.
Hii pc hata ukiamua utengeneze mwenyewe kwa desktop yenye 7th gen bado itakugharimu
Execution ya game(graphics na videos) hufanyika kwenye gpu kama gpu iliyopo kwenye pc ina uwezo mdogo haiwezi play games nyingi mpaka uweke low setting.Speed ya pc inatokana na ukubwa wa CPU,sasa unachezaje game kubwa wakati huna speed?
Kwa hiyo mkuu message yako ni kwamba CPU haina kazi kubwa katika kuplay game?Mimi shida yangu iko hapo tu! Chief-Mkwawa naomba msaada wako hapa,ni kweli kwamba ukiwa na GPU kubwa lakini ukawa na CPU ndogo sana game zote kubwa kubwa utaplay bila shida yoyote?Execution ya game(graphics na videos) hufanyika kwenye gpu kama gpu iliyopo kwenye pc ina uwezo mdogo haiwezi play games nyingi mpaka uweke low setting.
Unavyosema spidi unaamaanisha nini?
Moja gpu hufanya shading(color, texturing, vertex, 3d drawing)
Nvidia rtx 2070 imeundwa kwa tech 12nm ina transistors 10bil
Inaweza kufanya shaders 2560.
Ina ram yenye channel 6 GDDR6
Kwa kifupi calculations zote za graphic kwenye pc hufanyika kwenye gpu
Kama motherboard inasupport gpu husika cpu hata ikiwa ndogo games zitafunguka vizuri.
Cpu na Gpu vinaenda sambamba, cpu ikiwa ndogo sana ita throttle gpu and vice versa is true.Kwa hiyo mkuu message yako ni kwamba CPU haina kazi kubwa katika kuplay game?Mimi shida yangu iko hapo tu! Chief-Mkwawa naomba msaada wako hapa,ni kweli kwamba ukiwa na GPU kubwa lakini ukawa na CPU ndogo sana game zote kubwa kubwa utaplay bila shida yoyote?
Speed ya pc inatokana na ukubwa wa CPU,sasa unachezaje game kubwa wakati huna speed?
MSI gaming machine
Core i7 - 7th gen
RAM 16gb
HDD 1tb
SSD 256gb
Nvidia Gtx 1060(6GB Dedicated)
Used
[emoji338]0784545494
Bei 2,850,000
Tupo Karibu na Mlimani City Mall Njia ya kwenda Survey/Ardhi University.
View attachment 1751559
Omen By Hp Laptop
Core i7- 8th Gen
Ram 16Gb
Ssd 512Gb
Nvidia RTX 2070(8Gb)
Price Tzs 4.5M
Mpya
[emoji338]0784545494
Tupo karibu na Mlimani City Mall View attachment 1751561
Omen By Hp Laptop
Core i7- 7th Gen
Ram 16Gb
Hdd 1Tb
Ssd 128Gb
Nvidia Gtx 1050Ti(4Gb)
Display Size 15.6”
[emoji1542]Price Tzs 2.5M[emoji736]
Tupo karibu na Mlimani City Mall
[emoji338]0784545494
New[emoji736]
View attachment 1751562
boss naitaka hii nina 3.8m cash hata leo niilipieOmen By Hp Laptop
Core i7- 8th Gen
Ram 16Gb
Ssd 512Gb
Nvidia RTX 2070(8Gb)
Price Tzs 4.5M
Mpya
[emoji338]0784545494
Tupo karibu na Mlimani City Mall View attachment 1751561
Kujifunza ni kitu kizuri sana... Mtu anayesema hawezi kutoa zaidi ya laki nne kwa pc used na hawezi kutoa laki 7 ka pc mpya ni mtu asiyefahamu anachozungumza.
Gaming PC zipo kwenye class ya high end PCs, ni computer zenye uwezo mkubwa sana na specifications zake ni za juu. Cha pili ni kuwa hizi computer sio kwa ajili ya gaming tu, zinaweza kutumika kwa jili ya kuchorea ramani za majengo (architecture, kupitia program kama AUTOCAD), kufanya video editing za 4K (lazma uwe na highe end pc), kufanya rendering ya 3D animations lazima uwe uwe computer ya namna hii.
Pia computer hizi hata ukisema uunde mwenyewe kwa kununua parts mbalimbali bado gharama itakuwa juu. PC za laki kadhaa hazina ishu ni za kuchapa barua, kuangalizia movie na kuingia facebook.
PC ninayoenda kununua mimi later this year inagharimu 3.8 Mil za kiTanzania.
Ushauri:
Unapoona kitu chochote kinauzwa bei kubwa, ULIZA. Never ever base judgement ya kitu kwa kuona kina gharama kubwa. BTW... cheap is always expensive.