black short
JF-Expert Member
- Nov 16, 2019
- 519
- 974
Kuna magari namba A yanaishi mpaka leo,,, Hapa mtaani kwangu kuna Toyota Hiace, Coaster kibao tu namba A na B huwa zinasokota ma miles kibao tu,Kununua gari ya namba B bora nisiwe na gari kabisa
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Vits ganiUnapata vitz ndio bei izo
Vits ganiUnapata vitz ndio bei izo
...kwa nini Mkuu? Itakuwa imepuyanga sana? So inawezekana ikawa in namba tu lakini gari IPO oda???Kununua gari ya namba B bora nisiwe na gari kabisa
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Yako mwenyewe ama we dalali?Sienta Whatsap[emoji336] 0712690760
Engine::1980 Mwak2004
[emoji618] : Petrol,,,, automatically
Ipo : kinondon :🙁engine Safi gia box Safi popote safari):::::::
[emoji383] Mil :5.95
[emoji336] 0712690760/0755984282View attachment 1728199View attachment 1728200
Amejitahidi sana kuweka taarifa muhimu kwa mnunuziYako mwenyewe ama we dalali?
Bado ipoIlikuwa niyangu kiongoz humu ukiona nimepost gari jua niyangu nashukuru San kiongoz
Kuna hiyo inauzwa 6.7MilBado ipo
ndo nini hii??Gari no langu