black short
JF-Expert Member
- Nov 16, 2019
- 519
- 974
Kuna magari namba A yanaishi mpaka leo,,, Hapa mtaani kwangu kuna Toyota Hiace, Coaster kibao tu namba A na B huwa zinasokota ma miles kibao tu,Kununua gari ya namba B bora nisiwe na gari kabisa
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app