Car4Sale Tunauza Magari aina mabalimbali

.
IMG-20230321-WA0048.jpg
 
Kwanini unaiuza bei ndogo hivyo. Mimi ninayo na kama kuiuza sasa si chini ya 8M.
Inategemea pengine anataka kuongezea akanunue nyingine kali zaidi maana gari kama hiyo tena yenye condItion nzuri kuitoa japan hadi hapa ni 11 ikizidi ni 12 tu kila kitu ..

Sembuse hiyo ni B ameshaitumia hadi basi. hiyo bei ni sawa
 
Saiv 17 mpk 19 mkuu
 
Back
Top Bottom