Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Hizo ni cc mwanakwetuAma kweli sisi ni shithole countries... Inawezekanaje gari ya mwaka 1980 ikaingizwa nchini kwetu? Napenda Nissan Extrail ila hii hata bure hapana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni cc mwanakwetuAma kweli sisi ni shithole countries... Inawezekanaje gari ya mwaka 1980 ikaingizwa nchini kwetu? Napenda Nissan Extrail ila hii hata bure hapana
Futa hii kitu haraka ili kulinda heshima yako. Hapa kwa kweli umepuyanga.Ama kweli sisi ni shithole countries... Inawezekanaje gari ya mwaka 1980 ikaingizwa nchini kwetu? Napenda Nissan Extrail ila hii hata bure hapana
Ni cc na ni very reasonable. Tatizo watu kupenda vya bei ndg baadae gharama take balaaHizo ni cc mwanakwetu
Asanten kwa mwelimisha
2002Ni gari ya mwaka gani mkuu?
me sijui magari mkuu ila hii imenichekesha sanaAma kweli sisi ni shithole countries... Inawezekanaje gari ya mwaka 1980 ikaingizwa nchini kwetu? Napenda Nissan Extrail ila hii hata bure hapana
Ama kweli sisi ni shithole countries... Inawezekanaje gari ya mwaka 1980 ikaingizwa nchini kwetu? Napenda Nissan Extrail ila hii hata bure hapana
Mpuuzi tu huyo si umeona hapo kaanfika Extrail badala ya Xtrail[emoji28] kitu km hujaelewa uwe unauliza kuepuka aibu ndogondogo km hizi mkuu
Mimi sio mzungu kikubwa na picha zipoMpuuzi tu huyo si umeona hapo kaanfika Extrail badala ya Xtrail
Niwashuru Sana nimeuzaMimi sio mzungu kikubwa na picha zipo
1980Picha moja tu..
Picha7 mkuu1980
Itanilipa kufanya bolt hii?1980
Sijui mm nauza gari yangu tu mkuuItanilipa kufanya bolt hii?