zebanga watelanga
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 862
- 398
- Thread starter
-
- #621
Nimepiga rangi bampa lambele na nyuma iyo ndio shida yake lakin haina shida yoyote tail mpya full acinashida gan?
Yupo jamaa yake anauza mill 6 tu ukiwa teyali ntakupa namba yake mkuubei mkasi
Hiyo ni engine capacity cc 19802023-1980 = 43yrs
miaka inakimbia aisee.
Engine capacity ccHii ni ya mwaka 1980??