Car4Sale Tunauza Magari aina mabalimbali

Wadau hebu tuache utani,mill tatu upate gari zima kweli?!!!!
Aisee muogopeni Mungu
 
Ngoja niinunue Mimi ili niondoe mkosi kwenye familia yetu kwamba hakuna hata mtu mmoja aliyewahi kumiliki gari.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Toyota Clavia full ac Whatsap[emoji336] 0712690760 mil 6.5
Cc 1290 km106435 engine 2nz
Mwaka: 2000
[emoji618] : Petrol
Automatically
Engine safi gia Box safi
Ipo: kinondoni
[emoji383] Mil 6.5
[emoji336] 0712690760/0755984282


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…