Car4Sale Tunauza Magari aina mabalimbali

Car4Sale Tunauza Magari aina mabalimbali

Bro clavia ukiagiza ni mil 8, hiyo yako hapa bongo imetumika miaka sita sasa maana imesajiliwa 2015. Hebu kuweni fair kidogo
 
[SUB]Sio kwa bei hii mkubwa🙄🙄🙄🙄🙄🙄[/SUB]
 
Sprinter full ac Whatsap[emoji336] 0712690760 mil 4.3
Engine cc 1480
Mwaka: 2000
[emoji618] : Petrol,,,,Automatic
Ipo : Kinondon
[emoji383] Mil : 4.3
[emoji336] 0712690760/0755984282
IMG-20201010-WA0023.jpg
 
Ulikuwa unaitumia safari za mkoa kila siku? Mileage inasoma laki 4... duuu

Odometer kuwa 431,567 ni nyingi sana mkuu
 
gari nzuri sana, ingekuwa 3m ningekupa mteja yuko moro anataka gari kama hiyo
 
Kelia yakubebea mizigo ktk gari ndogo
Ipo kinondoni nimetowa ktk gari yangu naiuza bei 185,000
Ipo kinondoni
0712690760, 0755984282


IMG_20201226_111103_0.jpg
IMG_20201226_111055_2.jpg
 
Back
Top Bottom