Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
zebanga watelanga kwann usimtafte gsm aje afungue godaun hapo! Naon ana bidhaa nyingi san huko temeke, ameimarika san kweny soko maeneo hayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo hinbox nikufundishe na wewe kuhandika vibaya.Unaandika vibaya
Kwahiyo unafikiri nyumba ikiwa na choo na parking inaweza kuwa hospital siyo?[emoji54][emoji54][emoji54]Boss Sina Hela hapo nimesema TU Kwan ukiamua kufua hospital Kuna tatizo
Uwezo wangu umeishia apo
Bwana mwenye kuitaji atapiga Simu nakuja kuikaguwa hizi mbwembwe kibao zanini bro wewe umesoma umesahihisha hinatoshaBiashara hasa za mtandaoni zinahitaji u-serious hasa lipokuja suala la lugha na maelezo ya biashara. Hivyo nakushauri tafuta mwandishi awe anakusaidia kuposti kitu cha kueleweka. Sasa unaandika HINAPANGISHWA badala ya INAPANGISHWA unawavuruga wateja.
Iyo nyumba sio gari njoo ona boss punguza kuchangia Mambo kibao walio seriously washaga kuja kuikaguwa hizi zingine mbwembweUmeshindwa kuandika vizuri, hata picha nazo zimekushinda kuweka. Picha uliyoweka haielezei chochote kuhusu hiyo nyumba wala mazingira ilipo. Kuwa serious!
Hakuna mtu serious atakayekuja kwa kitangazo chako hiko, labda awe anaijua kabla ya kutangaza. Utapata madalali uchwara tu.Iyo nyumba sio gari njoo ona boss punguza kuchangia Mambo kibao walio seriously washaga kuja kuikaguwa hizi zingine mbwembwe
Kwenye kodi bora hata ungeweka milioni 1 kwa mwezi! Vyumba 10 kwa milioni 1.25 mpaka biashara ije izoeleke, si utakuwa sasa umegawana faida sawa na mwekezaji wako!NYUMBA HINA PANGISHWA
A).Inavyumba 4 single ambanyo havina nyoo
B).Inavyumba 6 vyenye vyoo
C).ukumbi upo wakuingia watu 20 mpk30
D)Kuna kisehemu kama kaunt
C) Parking ya Gari km 5 hivi
D) maji yakisima
F) Vyoo vya njee vipo 4
Mahali ipo ni temeke mtaa wa boko kalibu na makabulini
PANAFAA KWA BAR NA GEST AU HOTEL NA PIA KWA MAKAZI AU KAMPUN KUKODI
KWAMWEZI KODI 1,250,000 HINAHITAJIKA KODI YA MWAKA 1
PIA KAMA UNAHITAKI KUWEKEZA KUBOMOA NAKUJENGA GOROFA TUNAWEZA HINGIA MAKUBALIANO
CM 0712690760/0755984282View attachment 1979515
Walisha kuja Bei na mashart mkuu tumeshindwan ndugu Mimi nichangu nitapata tu mkuu wewe Kwan MunguHakuna mtu serious atakayekuja kwa kitangazo chako hiko, labda awe anaijua kabla ya kutangaza. Utapata madalali uchwara tu.
Hao wanaoweka picha za kuonyesha ndani kukoje, nje, maeneo yaliyoizunguka n.k unafikiri ni wajinga wewe ndio una akili?
Chukulia nilichokwambia kama ushauri sio unapinga tu
Kwa picha hiyo utawauzia majirani zako labda, trust me. Mtu hawezi kutoka mbali aje kutazama labda kama anatafuta banda la kuonyesha mpira. Na ndio maana mnashindwana bei, we unataja ya nyumba yeye anataja ya banda 🤣Walisha kuja Bei na mashart mkuu tumeshindwan ndugu Mimi nichangu nitapata tu mkuu wewe Kwan Mungu
2.5mShukran