Kibukuasili
JF-Expert Member
- May 15, 2010
- 1,053
- 615
Acha kiburi, badilisha tangazo nyumba yako ionekane vizuri uuze. Utaishia kukaribisha watu tu mpaka lini.Karibuni sanaa
Mtu yeyote mwenye akili akiona tangazo lina muda mrefu linazimuliwa tu kama pombe ya kienyeji analipotezea.
eti "karibuni sana"