mwakyindi
JF-Expert Member
- May 7, 2018
- 1,599
- 2,192
[emoji848][emoji848] dah sio poa kabisa kuzalau ki2 cha mwenzako! Kila la hel mkuuHuu uchafu sio wa kuuza 7.5M atleast ungesema 5M mpaka 4M
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji848][emoji848] dah sio poa kabisa kuzalau ki2 cha mwenzako! Kila la hel mkuuHuu uchafu sio wa kuuza 7.5M atleast ungesema 5M mpaka 4M
Huu uchafu sio wa kuuza 7.5M atleast ungesema 5M mpaka 4M
Ha ha ha. PoleNimesha uza Asante sana
Jamii forum ukiwa na roho ndogo, unaweza kugombana na watu mpk dunia ukaichukia. Haya sio majibu kwa mtu anaeuza mali yake tena pengine ana matatizo yake yamemtinga. Kwani ukipita bila kucomment kitu kwenye uzi wa mtu utakufa? Tubadilikeni bnHutouza hiyo gari kamwe mpk ushuke mpk 5 au 4 trust me
Aibu yako na roho yako mbaya ka korosho mbuz weeHa ha ha. Pole
Aibu ya nn na Sienta?Aibu yako na roho yako mbaya ka korosho mbuz wee
Sawa, njoo basi hapa Polisi Oyesterbay na hilo gari.Njoo ulipie laki 7 mkuu
Walokole wakiona muenekano wa hili jengo watalikodisha na kulifanya kuwa kanisa lao wakidai wanafufua watu.Sijakulewa
Ndio thamani yake au hata 2.5 tuChukua 3 cash on hand
🤣🤣Sawa mpe gari lako Mkuu atabule