Itakua imesababishwa na kupanda kwa Bei ya cement.Gari hata mwezi haina unauza. Nini kimekushtua?
Yaani Milion 4 upewe ist hahahaha , kanunue Bodaboda sio lazima umiliki gari mkuu otherwise utakuja kulaumu watu bure.mimi nipo serious ila pesa yangu nadhani ipo kidogo...nina shider na IST ILa ni 4M, kama utakuwa nayo by feb 28 nikutafute....
mimi nipo serious ila pesa yangu nadhani ipo kidogo...nina shider na IST ILa ni 4M, kama utakuwa nayo by feb 28 nikutafute....