Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

Sold futa
Kwa gari ningine nichek
 
TOYOTA KLUGER DRS ON SALE..
GARI KALI SANAAAA [emoji91][emoji91][emoji91].
YEAR.... 2004.
CC.... 2360.
KLMTR 78,000
HEAD SEATS TV
SEATING CAPACITY 7
PRICE 18.5[emoji1666]
CLEAN CAR

CONTACT 0713415537

IMG_20201113_081841_209.jpg
 
Toyota Harrier
2001 year
2300 cc
Engine vvti
In mint Condition
Full documents File
Price/Bei 13.8 mil
Location DSM/Tz
Contact 0713415537

IMG-20201116-WA0282.jpg
 
[emoji91]Gari ambazo zipo sokoni leo simu moja tu

Kama unahitaji au una kichwa njoo nicheki 0713415537 kwa picha, kwa ambao wapo serious ofisi ziko Mwenge DSM

1) Nina Harrier tako la nyani ziko tatu, DD, DC na DN bei ni 18.8M kwa kila moja, zinatoa pesa (sina ya kulenga)

2) Nina Pradooo mchaga no BK kali sana bei 14.5M tunaishi, ni kali balaa

3) Nina canter tipa no DG kali sana bei 26M tunaishi vizuri, lete kichwa cha kueleweka

4) Nina Vitz no DKZ kali sana cc 990 iko vizuri Bei ni 5.9M tu, tukachukue

5) Nina Brevis kali no DA bei 5.5M tu, iko vizuri, haijawahi guswa rangi

6 Nina Prado diamond kali no C, ziko mbili, nina ya Pertol na kuna diesel, chaguo ni lako, bei 26M kila moja

7 Nina Alphard kali no DM bei 13M tu na tunaishi, gari kali

8) Nina toyota Surf neo model kali sana bei 20M kwa mwenyewe, njoo na pesa yangu, iko poa sana

9 Nina toyota amazon kali sana no A, kitu ina mpaka jiko, bei 26M chap tumalize

10) Nina Rosa bus ndefu namba DP bei ni 18.5M tu, sukuma hii tupate malundo,

11) Nina Spacio new model no D kali sana only 8.7M njoo umalize

Nb Gari ninazo nyingi (zingine sijaziandika hapa) kama unahitaji serious niambie unahitaji gari, au mteja wako anahitaji gari gani, ninazo kibao, (ZA KULENGA SINA NA MIMI NAZITAFUTA,)

Tunzo Qualitycars, (Magari bora fahari yako)

Pia Kama una gari za kulenga naomba tuwasiliane,

Na kama una gari yako unauza, unayomiliki wewe naomba tuwasiliane

Contact 0713415537

Screenshot_20201120-074626.jpg
 
mimi nipo serious ila pesa yangu nadhani ipo kidogo...nina shider na IST ILa ni 4M, kama utakuwa nayo by feb 28 nikutafute....
 
mimi nipo serious ila pesa yangu nadhani ipo kidogo...nina shider na IST ILa ni 4M, kama utakuwa nayo by feb 28 nikutafute....
Yaani Milion 4 upewe ist hahahaha , kanunue Bodaboda sio lazima umiliki gari mkuu otherwise utakuja kulaumu watu bure.


Wabongo sijui mkoje.[emoji16][emoji16]
 
mimi nipo serious mkuu sio swala la wabongo mkoje... fanya negotiations nzuri maana kipato changu ni pesa inakuja alafu inapotea faster mkuu.

bodaboda nilinunua kwa 1.5M na ilikuwa vzur tu
 
Toyota HARRIER (DUC)
Year 2006
Cc 2360
Kms 67,000
Engine VVTI - 2AZ
4Cylinder
Forg Lights
Full Option
Sun Roof
Sport Rims
Clean Seats
New Tires
Android Music Radio/
Cd/Bluetooth/Flash
Full Documents (File)
Fuel Petrol
Transmission Auto
Seating Capacity 5
Imported From Japan
Jack
Spare Tire
Wheel Spanner
Gari imetunzwa vizuri
In mint Condition[emoji1305]
Gari ina mda mchache tangu isajiliwe iwahi mapema kabla haijachukuliwa siku ni chache karibu saana
Price.24.8.m
Contact 0713415537

IMG_20201211_094217_118.jpg
 
Back
Top Bottom