Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magari haya na mengine mengi yanapatikana Tunzo Qualitycars, hayo kwenye picha, na mengine niliyoandika hapa, na mengine sijaandika, wewe fika ofisini Mwenge Lufungira au nichek kwenye simu, na mikoani tunakuletea gari unalotaka*
Pia kama unauza gari yako unataka pesa ya chap nichek kwa 0713415537
* [emoji95] Raum new no CPA inataka 5.9M Top, gari nziri sana*
[emoji91]Nina Toyota Landcruiser Hardtop Year 2005 Cc 4164 Engine 1HZ kali no DU bei 60M
[emoji91]Harrier old ni CWQ wahi gari kali sana engine 5s bei ni 10.5M top
[emoji91]Nina Harrier new model no DBB bei kwa boss 15.5M uza juu gari kali
[emoji91]Nina Harrier new model no DC ya silver kali sana inataka 17M
[emoji91]Nina rav 4 miss tz no DF kali rangi per white bei 17M
[emoji91]Nina Rav 4 old no DP kali inataka 13.5M top
[emoji91]Pia nina Toyota Carina TI no DHH mti balaa ila ni zile Carina za nyuma kidogo Bei 6.5M
[emoji91]Pia nina Crown athlete no DC ya 2008/2009Price 16.8M
[emoji91]Pia ni wish kali sana no DQU ila ni cc 1990 bei ni 8M
[emoji91]Pia nina Toyota Rush no DQW kali sana bei 12.9M tu
[emoji91]Nina Porte kali sana no DGY bei 6.9M gari kali sana
[emoji91]Nina Suzuki grand vitara zile ngumuu no BEA bei 6.8M
[emoji91]Pia nina Toyota Vios no DUF gari mpyaa kwa 12M
[emoji91]Nina Prado mchaga no A kali sana diesel gari kali bei 12M
[emoji91]Nina Carina no CUT kali sanaa inataka 6M fixed
[emoji91]Nina Prado mchaga no B ziki mbili za pertol, bei kila moja ni 14M
[emoji91]Nina toyota Alex no D kali sana bei 9.8M tunaishi
[emoji91][emoji91][emoji91]Bila kusau Gari ambazo hazijasajiliwa chases no ninazo sema unataka gari gani
*[emoji848] Nikiandika hapa mpaka mwakani sitamaliza, sema unataka gari gani au mteja wako anataka gari gani tichek tumalize
Mawasiliano nichek kwa 0713415537View attachment 1673427View attachment 1673428View attachment 1673429View attachment 1673430View attachment 1673431View attachment 1673433View attachment 1673434View attachment 1673435View attachment 1673436
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kuna Toyota Allex Hadi za milion 40 wee kaa tu kishambaHivi toyota Allex kumbe ni Mnyama [emoji23] [emoji23]
PoaMkuu nipe no yako au nichek kwa 0713415537
Wewe nijibu tu ni mnyamaKuna Toyota Allex Hadi za milion 40 wee kaa tu kishamba
ZipoNissan patrol on sale
asking price 42.5M
REG No DJL
Make:nissan
Model😛atrol
Body type station wagon
Mileage 114046km
Body type station wagon
Year manufacturer:2010
Engine capacity: 4164/TD42
Fuel used: diesel
Seating capacity 8
Transmission :manual gear
Locaton dar/salasala
Gari inetuzwa vizur sana [emoji2937]
Imported from
Contact 0713415537
View attachment 1819043
Hayo maji ya kunywa ni offer😂🤣😅
Post hayo magari hapa sasaNimewakumbuka, nilikua napost kwenye mitandao mingine