Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuu! Watu wafukunyuku balaaBila shaka hii gari ni Toyota SubaruView attachment 2759038
Huini ni mpya DZR. Registration number , Hivi Neno mpya mnalitumiaje gari isajiliwe zaidi ya miaka MITATU halafu unasema gari mpya!!!Hiyo ni new model ?
Hii gari lazima niimiliki mwaka 2025ONSALE[emoji593]
HARRIER NEW MODEL
Reg number ....D.Z.R
(GARI NI MPYA HASWA 100%)
YEAR 2007/8
ENGINE Cc 2360
LEATHER SEAT
ANDROID ..TV
*Price (27,800,000)
0688591584
Dar es salaamView attachment 2761098View attachment 2761099View attachment 2761100View attachment 2761101View attachment 2761102View attachment 2761103View attachment 2761104View attachment 2761105View attachment 2761106View attachment 2761107
Itàkuwa ishapitwa na wakatiHii gari lazima niimiliki mwaka 2025
hii sio new model mkuu,ila kwa bei sio mbaya ndo bei zake hizoONSALE🚘
HARRIER NEW MODEL
Reg number ....D.Z.R
(GARI NI MPYA HASWA 100%)
YEAR 2007/8
ENGINE Cc 2360
LEATHER SEAT
ANDROID ..TV
*Price (27,800,000)
0688591584
Dar es salaamView attachment 2761098View attachment 2761099View attachment 2761100View attachment 2761101View attachment 2761102View attachment 2761103View attachment 2761104View attachment 2761105View attachment 2761106View attachment 2761107
Alitakiwa aseme TAKO LA NYANI angeeleweka kwa urahisiHiyo ni new model ?
tena manufactured in 2007! Mimi nilishaendesha aina hiyo na kuiuza kama miaka mitatu nyuma.Hiyo ni new model ?
Uliuza Tako la Nyani bitimkongwe ?tena manufactured in 2007! Mimi nilishaendesha aina hiyo na kuiuza kama miaka mitatu nyuma.
ndiyo niliichoka, tayari nilikuwa nimekaa nayo kwa muda wa miaka mitano.Uliuza Tako la Nyani bitimkongwe ?