Magari Bei Nafuu
Member
- Jul 11, 2023
- 27
- 11
- Thread starter
-
- #21
Ni sahihi kabisa Mkuu.Nimeeka Post ilopita ila nikipost gar nitakuwa naweka
Hivi bongo kuna watu wananunua zero Km kweli...[emoji28] zaidi ya gari za serikaliNchi yetu sijui lini raia wa kawaida wataendesha magari mapya. Wenzetu wanatuuzia screpa kwa bei za kutupa sisi tunaziwekea kodi mara mbili bei inakuwa juu mpaka mtu akinunua inabidi ajifariji ni mpya.
TRA, tushusheni kodi za hii mitumba angalau watu waendeshe magari yenye afadhali. Sasa hivi mtu akitaka kuagiza mtumba inabidi auze ngarangara yake namba A analomiliki ili apate ela ya kodi.
Unakutana na yale maprado mchaga namba A imeisha ila mtu anaiuza m10 na mteja anapatikana sababu mtumba wa nje ni m35 hapo kodi ni m15.
Wapo boss. Wachache ila wapo ila ukitaka mambo mazuri tafta namna uwe sehemu ya serikali.Hivi bongo kuna watu wananunua zero Km kweli...[emoji28] zaidi ya gari za serikali
Yani asilimia 99 ni mitumbaaa...!!Wapo boss. Wachache ila wapo ila ukitaka mambo mazuri tafta namna uwe sehemu ya serikali.
Hiyo 99% ya Mitumba imegawanyika hapo.Yani asilimia 99 ni mitumbaaa...!!
Kwenye suala la dumping fees naelewa kwa mbali, bei ikiwa chee sana tutaletewa kila uchafu..., nadhani jambo jema zaidi ni watu kupata kipato kinachoeleweka ili wamudu vitu vinavyoeleweka au kama vipi soko lipo hao wadau washushe mzigo huku moja kwa moja au hawa walamba asali wote wa East Africa wakafanye lobbying huko Japan n.k. assembly plants zije huku....ifike wakati tupunguze kuwa jalala la dunia..., na bila soko la vyuma chakavu na scrapper nadhani afrika tungekuwa na milima ya mascrapper usawa wa mlima KilimanjaroNchi yetu sijui lini raia wa kawaida wataendesha magari mapya. Wenzetu wanatuuzia screpa kwa bei za kutupa sisi tunaziwekea kodi mara mbili bei inakuwa juu mpaka mtu akinunua inabidi ajifariji ni mpya.
TRA, tushusheni kodi za hii mitumba angalau watu waendeshe magari yenye afadhali. Sasa hivi mtu akitaka kuagiza mtumba inabidi auze ngarangara yake namba A analomiliki ili apate ela ya kodi.
Unakutana na yale maprado mchaga namba A imeisha ila mtu anaiuza m10 na mteja anapatikana sababu mtumba wa nje ni m35 hapo kodi ni m15.
Masharti yapo kwa makundi mawili tu WALIOAJIRIWA na WALIOJIAJIRI, ni vyema ungeweka hayo masharti hapa kuokoa muda wa kupigiwa simu kila wakati..Mashart yanategemea kama umeajiliwa au umejiajili ndomn naweka namba Mtu kunifata Whatsap na kumtumia Mashart ya vile atakvyo nielezea kama ni mwajiliwa au amejiajili
Masharti yapo kwa makundi mawili tu WALIOAJIRIWA na WALIOJIAJIRI, ni vyema ungeweka hayo masharti hapa kuokoa muda wa kupigiwa simu kila wakati..
Binafsi yangu nimejiajiri na nahitaji gari nipe hayo masharti nione kama naweza kuafford..
Mbona gari za biashara/hujaweka boss naitaji mitsubishi canter tani 2 au 3 na town ace bei zake zikoje.
Mbona gari za biashara/hujaweka boss naitaji mitsubishi canter tani 2 au 3 na town ace bei zake zikoje.
Haina shida maana Kwa salary ya laki 520 siwezi kutoboa ndio maana nimebuni mbinu hiyoIla jua card Orginal Tunayo sisi wewe tunakupa copy
Haina shida maana Kwa salary ya laki 520 siwezi kutoboa ndio maana nimebuni mbinu hiyo