Car4Sale Tunauza magari kwa cash na mkopo pia tunaagiza magari nchi mbalimbali

Tunauza magari kwa cash na mkopo pia Tunaagiza magari kutoka nnchi mbalimbali

Kwa Mawasiliano zaid (0719415519)

TOYOTA TOWNACE PRICE 23M
dd2c6ea3-8d3e-407c-a2f4-cca36392cb20.jpg

Toyota Town acetruck
Model code: KM70
Engine Code: 7K-E
Engine size: 1,780
Yom: 2006
Millage: 60,171
No of seat: 3
Color: Silver
556c3c7a-be47-46b9-be80-05a4553bfaa1.jpg

dd2c6ea3-8d3e-407c-a2f4-cca36392cb20.jpg

556c3c7a-be47-46b9-be80-05a4553bfaa1.jpg

8c2171e8-8fde-4235-bfed-60f804278d29.jpg

6fd3b714-dbc3-4a60-8609-2239ff6a87d4.jpg

9c068a13-2e17-4527-a7f1-bb708a218259.jpg

f17c3d59-c878-420f-b2f4-51c038071c1d.jpg

528be2a9-2635-493f-9211-73f58125bc40.jpg
 
Nchi yetu sijui lini raia wa kawaida wataendesha magari mapya. Wenzetu wanatuuzia screpa kwa bei za kutupa sisi tunaziwekea kodi mara mbili bei inakuwa juu mpaka mtu akinunua inabidi ajifariji ni mpya.

TRA, tushusheni kodi za hii mitumba angalau watu waendeshe magari yenye afadhali. Sasa hivi mtu akitaka kuagiza mtumba inabidi auze ngarangara yake namba A analomiliki ili apate ela ya kodi.

Unakutana na yale maprado mchaga namba A imeisha ila mtu anaiuza m10 na mteja anapatikana sababu mtumba wa nje ni m35 hapo kodi ni m15.
 
Gari ya Mil 10 utaishia kulipa Mil 20[emoji28][emoji28][emoji28] Waalimu watajichanganyaa tu na hapaa
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Nchi yetu sijui lini raia wa kawaida wataendesha magari mapya. Wenzetu wanatuuzia screpa kwa bei za kutupa sisi tunaziwekea kodi mara mbili bei inakuwa juu mpaka mtu akinunua inabidi ajifariji ni mpya.

TRA, tushusheni kodi za hii mitumba angalau watu waendeshe magari yenye afadhali. Sasa hivi mtu akitaka kuagiza mtumba inabidi auze ngarangara yake namba A analomiliki ili apate ela ya kodi.

Unakutana na yale maprado mchaga namba A imeisha ila mtu anaiuza m10 na mteja anapatikana sababu mtumba wa nje ni m35 hapo kodi ni m15.
Hivi bongo kuna watu wananunua zero Km kweli...[emoji28] zaidi ya gari za serikali
 
Yani asilimia 99 ni mitumbaaa...!!
Hiyo 99% ya Mitumba imegawanyika hapo.

Mitumba kutoka nje 30%, halafu kuna mitumba ngarangara ya ndani 69% .

Mtu ana m7 anataka gari na chenji ibaki. Na ndio wengi.
 
Nchi yetu sijui lini raia wa kawaida wataendesha magari mapya. Wenzetu wanatuuzia screpa kwa bei za kutupa sisi tunaziwekea kodi mara mbili bei inakuwa juu mpaka mtu akinunua inabidi ajifariji ni mpya.

TRA, tushusheni kodi za hii mitumba angalau watu waendeshe magari yenye afadhali. Sasa hivi mtu akitaka kuagiza mtumba inabidi auze ngarangara yake namba A analomiliki ili apate ela ya kodi.

Unakutana na yale maprado mchaga namba A imeisha ila mtu anaiuza m10 na mteja anapatikana sababu mtumba wa nje ni m35 hapo kodi ni m15.
Kwenye suala la dumping fees naelewa kwa mbali, bei ikiwa chee sana tutaletewa kila uchafu..., nadhani jambo jema zaidi ni watu kupata kipato kinachoeleweka ili wamudu vitu vinavyoeleweka au kama vipi soko lipo hao wadau washushe mzigo huku moja kwa moja au hawa walamba asali wote wa East Africa wakafanye lobbying huko Japan n.k. assembly plants zije huku....ifike wakati tupunguze kuwa jalala la dunia..., na bila soko la vyuma chakavu na scrapper nadhani afrika tungekuwa na milima ya mascrapper usawa wa mlima Kilimanjaro
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Mbona gari za biashara/hujaweka boss naitaji mitsubishi canter tani 2 au 3 na town ace bei zake zikoje.
 
Mashart yanategemea kama umeajiliwa au umejiajili ndomn naweka namba Mtu kunifata Whatsap na kumtumia Mashart ya vile atakvyo nielezea kama ni mwajiliwa au amejiajili
Masharti yapo kwa makundi mawili tu WALIOAJIRIWA na WALIOJIAJIRI, ni vyema ungeweka hayo masharti hapa kuokoa muda wa kupigiwa simu kila wakati..

Binafsi yangu nimejiajiri na nahitaji gari nipe hayo masharti nione kama naweza kuafford..
 
Nitumie txt whatsap nikutumie
 
Back
Top Bottom