Enzi za utoto tumetengeneza sana magari ya box ya design hii.One of the Toyota Ugliest designs no dis!
Hawa designers wa hii gari na ile Will Vs nadhani watakuwa washarudishwaga kitaa zamani sana.
8?
mkuu hii chuma imehawi kugongwa/kugonga ( imeisha pigwa puti?)
Hapanamkuu hii chuma imehawi kugongwa/kugonga ( imeisha pigwa puti?)
Hapo ni Victoria Petro stesion ipo Barabara ya uwanja wa ndege hapo kuna car wash, nakila aina ya shughuli ninavyoona either alikuwa anabadilisha oil or anaosha gari.mkuu kosa ulilofanya umepigia picha garage.
Exactly, ni hapo hapo.Hapo ni Victoria Petro stesion ipo Barabara ya uwanja wa ndege hapo kuna car wash, nakila aina ya shughuli ninavyoona either alikuwa anabadilisha oil or anaosha gari.