Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

Hii
Aise hii gar kuna mahali niliskia sifa zake aise ipo vzr
 
Gari ni ya mwaka 2004
Piston 4
1290cc
Automatic
Petrol
106,000 Kms
Haijawahi kupata ajali
Haigongi chini
Tyres zote nimefunga mpya
Ndani Iko clean
Ndiyo gari naitumia kwa ajili ya shughuli zangu za kila siku
.
CHANGAMOTO ZA GARI
Imepauka
AC system ni ya kuifatilia, ama gesi imekwisha ama Kuna leakage somewhere
.
Mimi ndiye mmiliki wa gari, epuka madalali
.
NIMEPATWA NA DHARULA YA GHAFLA SANA NDIO MAANA NAIUZA KWA BEI HIYO, NA SIO KWAMBA GARI NI MBOVU
.
0717 650800



 
Ukiweka picha kwenye attachment weka full size ili zionekane moja kwa moja bila kuzifungua
 
Ukiweka picha kwenye attachment weka full size ili zionekane moja kwa moja bila kuzifungua
Nashukuru mkuu, nilipata changamoto ktk ku-upload, lakini nimefanikiwa nafikiri umekwishaziona picha [emoji1666]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…