Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

Nje ya mada, kwa nini mkitaka kuuza magari lazima picha zake mpige gari ikiwa kwenye mvua au imelowa maji, mnaficha nini hapo.
Hapo jua hicho kipengele. Au ukiona dalal kabandua namba kimbia kama mwehu kimeo hicho.unakuta anaibandua anaiweka chini
Au ukiona anasema a.c kuganda kimbia
 
Mkuu basi utakuwa na magari mengi sana maana kila gari unalouza unasema ''NAUZA GARI YANGU ''
Toyota Ist DSN
Brevis
subaru X20
Raum CYV
Kuna mmoja anauza magari bei chee,kila gari analopost ukimpigia simu anasema nina matatizo ndo maana nauza.
 
*Gari Haijarudiwa rangi isipokuwa bampa ya nyuma tu *
.
990cc
Hutumii funguo kuwasha gari
Engine safi
Gear box safi
Haigongi chini
Ndani clean na nje clean
Haijawahi kupata ajali
AC [emoji736]
91,000 Kms
Bima Active
Haina madeni Wala fines za barabarani
Documents zote zipo
.
Bei: TZS. 5m
.
Kimara - Dsm
.
Call: 0717 650800 [emoji1666]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…