Car4Sale Tunauza Magari ya kila aina, tupo Dar es salaam

Sijaelewa hicho kipengere cha Imported from Japan.
Naomba nieleweshe

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Sawa wacha nikueleweshe kwa kifupi.
Imported from Japan maana yake iliagizwa na kuingia Tanzania bara kutokea Japan. Zingine zinakuwa imported from Zanzibar, UK, Singapore, South Africa, India, etc. Bila shaka utakuwa umenipata.
 
Mmiliki ana dharula kubwa ameona auze gari yake Toyota Coaster ndefu, dungu, mayai.
GARI inasoma umiliki wa jina lake mwenyewe na haina tatizo lolote lile. Ina miezi 7 tu TZ toka iagizwe kutoka Japan na nyaraka zote zipo.
.
Model: Toyota Coaster
Engine: 1HZ
Capacity: 3227cc
Transmission: Manual
Fuel: Diesel
AC [emoji736]
Documents [emoji736]
Fridge [emoji735]
28 Seats Installed
Clean interior
Clean Seats
Clean roof
.
Price: TZS. 43M
.
Location: Temeke - Dsm
.
Contacts: 0717 650800 or 0744 650800
 
Gari nzuri sana na bei rafiki kwa mnunuzi, kwa bei hiyo inaashiria kweli anashida kweli kweli. Maaana kuikamata hiyo kitu unapaaswa kuwa na 72M+ sasa kea mwaka mmoja tu mtu anaitoa kwa 40+ seems kuna jambo haliko poa kweli. Kazi njema mkuu naaamin mzigo utatoka
 
Thanks [emoji1666]
.
Tena haijamaliza mwaka mkuu, Ina miezi 7 tu TZ toka itoke Japan[emoji419]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…