Njalaliko
JF-Expert Member
- May 9, 2016
- 310
- 896
- Thread starter
- #181
[emoji1787]View attachment 2383986
Hapo bamba la mbele linaonekana jipya sana then taa zina ukungu sana (zimechakaa) na hio plate namba ina mikunjo inaleta ukakasi ilipata ajali labda.. nunua polish safisha ukungu taa zing'ae