Car4Sale Tunauza Magari ya kila aina, tupo Dar es salaam

Car4Sale Tunauza Magari ya kila aina, tupo Dar es salaam

Picha za ndani tafadhali
Nilipiga jana usiku, leo nitapiga nzuri zaidi mchana zinazoonekana vzr
IMG_20220730_182801_0.jpg
IMG_20220730_182808_5.jpg
IMG_20220730_183117_7.jpg
IMG_20220730_183156_0.jpg
IMG_20220730_183210_6.jpg
IMG_20220730_183151_1.jpg
IMG_20220730_180608_895.jpg
 
Ina shida gani, uwe wazi hapa, nijue kabla sijaamua kuilipia.
Unaiamini inaweza kutoka dar mpaka Tunduma bila kunisumbua chochote?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Engine ya lita 1 sio sahihi kwa masafa marefu. Tafuta angalau lita 2 kama ni mtumiaji wa masafa, hiyo ni nzuri kwa shughuli za mjini kwenye foleni.
 
Engine ya lita 1 sio sahihi kwa masafa marefu. Tafuta angalau lita 2 kama ni mtumiaji wa masafa, hiyo ni nzuri kwa shughuli za mjini kwenye foleni.

gari ni gari tuu hata kama ni la cc 10. as long as lipo kwenye good working condition as per manufacturer linakwenda umbali wowote. unaweza Washa IST ukaenda nayo hadi Sauth afrika bila shida yoyote
 
gari ni gari tuu hata kama ni la cc 10. as long as lipo kwenye good working condition as per manufacturer linakwenda umbali wowote. unaweza Washa IST ukaenda nayo hadi Sauth afrika bila shida yoyote
Duh [emoji847]
 
Mkuu Niko mwanza, Bei ikifika 1.7 M nijulishe, maana hapo itabidi nitafute gari la kuibeba, harafu sema Kama inashida yoyote
 
Back
Top Bottom