Car4Sale Tunauza magari ya kila aina

Car4Sale Tunauza magari ya kila aina

Volkswagen Touareg 2004/2008 , CC chini ya 2500 ni bei gani?
Naomba kueleweshwa, japo niko nje ya mada,
Hivi gari za Ulaya zinaendaga Japan kufanya nini?
Ina maana na Wajapan nao wanaagiza gari Ulaya?
Nilidhani labda wamejitosheleza kwa gari wanazotengeneza wao wenyewe.
 
land cruiser hardtop macho panzi... mkuu... nipe bei.
 
Nawakubali sana wakuu!
Niliagiza gari kupitia Nyie na sijajuta!
Endrew alinisaidia sana
 
Back
Top Bottom