Meshaki Richard
JF-Expert Member
- Mar 19, 2021
- 320
- 174
- Thread starter
- #61
Uhuru wa kuchagua Size ya godoro unalohitaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Great karibu sanaSubscribed [emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433]
Pole sana ndugu kwa hiyo changamotoKuna kipindi nilinunua godoro, sikumbuki jina, likawa linabonyea kati, linaumiza mgongo. Nikaenda tena dukani, nikaulizia godoro lisiloumiza mgongo, nikaambiwa ni vita form, siku mbili tu nalo limebonyea kati linaumiza mgongo.
Nadhani magodoro ya maana labda ni tanform na comfy
170000 tu boss karibu 0763542515Vita 4*6*8 kias gan
GSM Yabonyea Katikati
Bila Shaka Ndiyo UlilonaloKuna Godoro nilinunua tangu 2003 bado lipo na alijabonyea kabisa sijui ndiyo yale alinunua babu mpaka mjukuu anaalitumia?
Shukrani mkuu.Piga picha hilo godoro la supreme hiyo sehemu ya density na uniwekee hapa mkuu.Ninayo density tofauti boss
Vita supreme density ya 28
Dodoma density 24
GSM density 24 na 22
Ni kimeoBila Shaka Ndiyo Ulilonalo
Lakini GSM HAA Hata Miaka 2 Bado
Tunatumia KKama Mkeka
Mkuu huwa tunamaanisha tukisemachoShukrani mkuu.Piga picha hilo godoro la supreme hiyo sehemu ya density na uniwekee hapa mkuu.
Ni godoro zuri na pendwa kwa sasa bossBila Shaka Ndiyo Ulilonalo
Lakini GSM HAA Hata Miaka 2 Bado
Tunatumia KKama Mkeka