INAUZWA Tunauza magodoro. Usafiri bure mpaka ulipo ndani Dar es Salaam

Nataka godoro ya 3×6 kwa ajili ya mwanangu shule.

Naomba kujua gharama, brand ya Dodoma, GSM n.k

Nipo serious, hata kesho biashara tunafanya.
 
Nataka godoro ya 3×6 kwa ajili ya mwanangu shule.

Naomba kujua gharama, brand ya Dodoma, GSM n.k

Nipo serious, hata kesho biashara tunafanya.
Za shule ni 2.5 x6 x4 hizi ni elfu 45 tu delivery kuanzia 5 chini ya hapo unazifuata mwenyewe ofisini au kuchangia kidogo usafiri
 
Godoro Tanzanite likienda kwa mteja wetu pata lako kwetu unaletewa muda huo huo ukituagiza
Bure ndani ya dar 0763542515
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…