Meshaki Richard
JF-Expert Member
- Mar 19, 2021
- 320
- 174
- Thread starter
- #141
Godoro Tanzanite kutoka GSM zikiwa na waranti miaka saba karibuni zipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za shule ni 2.5 x6 x4 hizi ni elfu 45 tu delivery kuanzia 5 chini ya hapo unazifuata mwenyewe ofisini au kuchangia kidogo usafiriNataka godoro ya 3×6 kwa ajili ya mwanangu shule.
Naomba kujua gharama, brand ya Dodoma, GSM n.k
Nipo serious, hata kesho biashara tunafanya.
Ndio na hizi sina huduma ya delivery bossKwahiyo 2.5 * 6 ni 45,000?
Yapo boss karibu sana comfy 250000 na unaletewa popote ulipo bure Dsm 0763542515Nahitaj 5*6 inch 8, comfy unauzaje
Hapana boss SIZE hiyo sina Tan foam ipo 5X6 na 6X6Tanfoam ya nchi 8 futi 4x6 unalo na ni bei gani?
Bei ikoje 5×6 nchi 10Godoro Tanzanite kutoka GSM zikiwa na waranti miaka saba karibuni zipo View attachment 2048297
Qfl 5x6 nchi 10 utaniuziajeGodoro dodoma likiwa limefika kwa mteja wetu limepata mapokezi makubwa sana View attachment 2054096
Karibu sana boss zipo aina mbili 290000 kava la kuvua na 320000 kava sealed
Umechelewa Sana kureply mkuu, nishanunua tayar 5×6 inch 10 kwa 270kKaribu sana boss zipo aina mbili 290000 kava la kuvua na 320000 kava sealed
Namba ipo pia boss ila ushanunua tayari ni kheri boss pia itakuwa afadhali kama hujapigwaUmechelewa Sana kureply mkuu, nishanunua tayar 5×6 inch 10 kwa 270k
Sent using Jamii Forums mobile app