Starboywiz
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 867
- 1,457
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, EDINHO CLASSIC ARTS GROUP ambao tunapatikana Mbeya..ni mabingwa wa kutengeneza bidhaa za shanga kama vile heleni, bangili, mikufu, kacha, pochi, mikoba, sendo aina zote.
Pia tunatengeneza bidhaa za uzi kama vile makapeti, vikoi, vitambaa na kadhalika.
Mafunzo kwa vitendo yanatolewa kwa gharama nafuu!
Tuna bidhaa za bei kati ya shilingi (1,000-50,000), karibu tukuhudumie
N.B kwa mlio nje ya mkoa wa Mbeya mnaweza kuwasiliana nasi kwa njia zifuatao:
SIMU: 0752687254
0766677998
Sent using Jamii Forums mobile app