Habari mkuu,
Binafsi nadhan umetoa mawazo kadri ya thinking capacity yako.
Unapotoa hoja usiwe na personal interest kwenye hilo jambo na ni vyema ukapunguza mhemko ili kuwa na thinking room ya kutosha.
Unadhani serikali kuhamia Dodoma ndio kila mtu ataenda kuishi huko?
Swala la kununua asset ni maamuzi ya mtu kulingana na kipato chake anachopata.
Kuna watu wanatafuta viwanja masaki, mikocheni, msasani kwa offer mpaka za 200m,250m na bado hawapati, jiulize kwanin?
Katika maisha siku zote ni vyema ukaangalia wapi unapopaweza na wapi ambapo hufiki ili usiumize nafsi yako.