NimekuchekiSalam..
Nauza mashine ya kukoboa mpunga model SB 10D yenye uwezo wa kukoboa kilo 700 had 900 kwa saa.
Power yake ni 15HP
Mpya kwenye box lake
Bei kuanzia million 2.7 maongezi yapo
Contact; +255626751473
Instagram @nkuli_agrostoretz
Mbezi Luis karibu na stend mpya ya mabasi ya mkoani
Karibu sana
Inapelea motor tu basiHapo kinapelea nn ili iweze kufanya kazi
Haha..Ukiweka bei unapungukiwa nini?
Tani 12 kwa saa 12????Bei ya ofa kwa vinu vya kisasa vya kukoboa mpunga (SB SERIES)
Model SB 10D yenye uwezo wa kukoboa kilo 900 hadi tani moja kwa saa
Motor au disel engine 15HP
Msaada wa kimakenika utatolewa kwa njia ya video
Mkoani unatumiwa mzigo siku moja baada ya kuulipia (usafiri gharama ya mteja)
Bei kuanzia 2.5m (negotiatable)
Tupo mbezi Luis karibu na stend
Follow insta @nkuli_agrostoreTz
Contact 0626751473View attachment 1847896
Ndio maana ake kiongozi.. mashine ya kazi hii.. karibu.Tani 12 kwa saa 12????
Karibu whattsup(Negotiable)
[emoji16][emoji16] watu hatujapanda ndege[emoji1787] but its understood, i hope so(Negotiable)
Hapana.. ina koboa na kung'arisha tuPia naomba kuuliza. Hii mashine inaweza kifanya grading?
Motor 15P three phase basiIli iweze kufanya kazi nini kingine kinahitajika?