Tunauza mashine za aina mbalimbali

Tunauza mashine za aina mbalimbali

Kwa wale wafanya biashara wadogo ya kuuza unga wa sembe, unga wa lishe, kufunga mchele n.k. kuna mashine hapa kwa ajili ya kurahisisha biashara yako.

Mashine (combined mill machine) ina uwezo wa kukoboa na kusaga nafaka, mashine hiyo hiyo inakoboa mpunga pia.

Uwezo kazi ni hadi zaidi ya tani 2 kwa siku.

Power 3HP single phase electric motor

Umeme wa kawaika tu wa nyumbani

Bei million 2 tu unapata na motor kila kitu tayari kwa kazi.

Kwa wateja wa Dar utaletewa mashine ulipo bila gharama ya nyongeza na utaunganishiwa pia. Kwa mkoani usafiri ni gharama yako ndogo tu.

Warranty ya mwaka mmoja.

Mawasiliano: 0626751473.
Follow us on insta @nkuli_agrostoretz
Mbezi Luis, Dar es salaam.

H09e59a025af2431fbd39d2f62e9219cbf.jpg
mini_combined_rice_mill_and_pulverizer_1581588473_19e2cd09_progressive.jpg
 
Kwa wale wafanya biashara wadogo ya kuuza unga wa sembe, unga wa lishe, kufunga mchele n.k. kuna mashine hapa kwa ajili ya kurahisisha biashara yako.

Mashine (combined mill machine) ina uwezo wa kukoboa na kusaga nafaka, mashine hiyo hiyo inakoboa mpunga pia.

Uwezo kazi ni hadi zaidi ya tani 2 kwa siku.

Power 3HP single phase electric motor

Umeme wa kawaika tu wa nyumbani

Bei million 2 tu unapata na motor kila kitu tayari kwa kazi.

Kwa wateja wa Dar utaletewa mashine ulipo bila gharama ya nyongeza na utaunganishiwa pia. Kwa mkoani usafiri ni gharama yako ndogo tu.

Warranty ya mwaka mmoja.

Mawasiliano: 0626751473.
Follow us on insta @nkuli_agrostoretz
Mbezi Luis, Dar es salaam.View attachment 1923106View attachment 1923116
Brilliant
 
Salam..
Nauza mashine ya kukoboa mpunga model SB 10D yenye uwezo wa kukoboa kilo 700 had 900 kwa saa.
Power yake ni 15HP
Mpya kwenye box lake

Bei kuanzia million 2.7 maongezi yapo
Contact; +255626751473
Instagram @nkuli_agrostoretz

Mbezi Luis karibu na stend mpya ya mabasi ya mkoani
Karibu sana

Engine yake iyo 15 HP nayo bei gani kwa sasa?
 
KWA WAJASIRIMALI WADOGO WADOGO WA UNGA WA SEMBE, DONA, LISHE NA MCHELE

Pata mashine hii ikusaidie kurahisisha biashara ako.

Inasaga mahindi, inakoboa mahindi na inakoboa mpunga pia vyote kwenye mashine moja

Portable inatumia umeme wa nyumbani huhitaji kuunganisha three phase

Mpya kwenye makaratasi bado

Uwezo; inasaga na kukoboa zaidi ya tani mbili kwa siku.

Bei 1.8million ikiwa ni pamoja na mota na huduma ya kufungiwa pia(kwa mkazi wa Dar es salaam)

Warrant inatolewa miezi sita kwa mashine.. mota na kifaa kingine cha umeme kwenye mashine hakina warranti

Spea za mashine zipo pia.

Location: Mbezi Luis njiapanda ya makabe Dar es salaam

Contact 0626751473
Karibu.

20211022_142758.jpg
photostudio_1636995973336.jpg
 
Mashine ya kulanda mbao MPYA!.. ni multipurpose- inalanda, inachana, inatoboa, inaweza kufanya urembo wa mbao n.k

Inalanda juu na chini.

Umeme- single phase (wa nyumbani tu).

Warrant- miezi 6

Bei million 4.

Tupo mbezi mwisho barabara ya makabe
Dar es Salaam
Mobile; 0626751473.

MQ443A-.jpg
IMG_20211018_095806_969.jpg
 
Attachments

  • 20220628_082528.jpg
    20220628_082528.jpg
    19.3 KB · Views: 42
  • 1662629023189.jpg
    1662629023189.jpg
    15.8 KB · Views: 37
Wahi ofa inayoisha mwisho wa mwezi huu

Pata mashine hii portable yenye uwezo wa kusaga na kukoboa mahindi na mpunga pia kilo 250 kwa saa kwa bei ya Tsh 1,800,000/= ikiwa complete na mota yake badala bei halisi ya 2,200,000/=

Umeme inatumia single phase wa nyumbani tu

Spea zote muhimu zinapatikana pia

Ufundi wa kukufungia kwa wakazi wa dar itakua bure

Piga au whatsup 0626751473
Mbezi luis barabara ya makabe
Dar es salaam

Au follow @nkuli_agrostoretz kwenye insta na facebook kwa maelezo zaidi

photostudio_1663391013094.jpg
photostudio_1636995973336.jpg
IMG_20221015_111153_902.jpg
20220928_135710.jpg
 
Embu tuambie pia kuhusu changamoto zake, ili mjasiriamali pia ajipange?

Binafsi nimevutiwa nayo.
 
Embu tuambie pia kuhusu changamoto zake, ili mjasiriamali pia ajipange?

Binafsi nimevutiwa nayo.
Changamoto zitapatikana kwa mtumiaji kutofata matumizi sahihi ya mashine kama ilivoanishwa kwenye kitabu cha jinsi ya kutumia, mfano
1. Ukizidisha umeme zaidi ya 15A unaweka hatari ya mota kuoverheat
2. Kutumia mashine bila kuweka grease utaharibu bearing

Ukifata taratibu sahihi za matumizi sio chini ya miaka mitatu ndo utahitaji kubadili vitu kama rola n.k
 
Mnapatikana wapi km nikihitaji iwe rahic kuwa trace napenda inoviation ya technolojia mpya hasa vijijini inafaa sana
 
Wahi ofa inayoisha mwisho wa mwezi huu

Pata mashine hii portable yenye uwezo wa kusaga na kukoboa mahindi na mpunga pia kilo 250 kwa saa kwa bei ya Tsh 1,800,000/= ikiwa complete na mota yake badala bei halisi ya 2,200,000/=

Umeme inatumia single phase wa nyumbani tu

Spea zote muhimu zinapatikana pia

Ufundi wa kukufungia kwa wakazi wa dar itakua bure

Piga au whatsup 0626751473
Mbezi luis barabara ya makabe
Dar es salaam

Au follow @nkuli_agrostoretz kwenye insta na facebook kwa maelezo zaidiView attachment 2390722View attachment 2390723View attachment 2390725View attachment 2390727
Umesema ni ya kukoboa mpunga na mahindi, je inasaga pia unga au yenyewe ni kukoboa tu?
 
Ina vinu viwili.. 2 in 1.. kinu cha kusaga na kinu cha kukoboa.. kinu cha kukoboa kina uwezo wa kukoboa mahindi na kukoboa mpunga pia
inabidi kuchimbiwa kwenye chumba chake au ni ya kuweka tu juu ya sakafu na ikafanya kazi?
 
Wahi ofa inayoisha mwisho wa mwezi huu

Pata mashine hii portable yenye uwezo wa kusaga na kukoboa mahindi na mpunga pia kilo 250 kwa saa kwa bei ya Tsh 1,800,000/= ikiwa complete na mota yake badala bei halisi ya 2,200,000/=

Umeme inatumia single phase wa nyumbani tu

Spea zote muhimu zinapatikana pia

Ufundi wa kukufungia kwa wakazi wa dar itakua bure

Piga au whatsup 0626751473
Mbezi luis barabara ya makabe
Dar es salaam

Au follow @nkuli_agrostoretz kwenye insta na facebook kwa maelezo zaidi

View attachment 2390722View attachment 2390723View attachment 2390725View attachment 2390727

Kubwa yake unayo?
 
Mashine za kutengeneza chakula cha kuku pallet kwanzia tani 1 mnazo? Kama zipo, bei? Na ni imports?
 
Back
Top Bottom