Tunauza maziwa mtindi na fresh kwa bei nafuu

Joined
Jul 20, 2024
Posts
46
Reaction score
49
Ofa Ofa ya nanenane imewafikia wakazi wa Dodoma mjini pata maziwa fresh na mgando kwa bei nafuu kabisa . Lita kwa 1600 na lita tano kwa 8000 tunafanya derivery bureeee🤹 kwa kiasi chochote maeneo ya mipango na kwa maeneo mengine ya Dodoma mjini mteja atatoa nauli tunapokea odda ya siku ya pili kuanzia asubuh had saa nne usiku kuanzia sasa , kwa mawasiliano piga namba 0697629019
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…