maziwa fresh

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vien

    JamiiForums Tanzania Hapa mjini, kupata maziwa pure ambayo hayajaongezwa kitu ni kama bahati ya mtende😃

    Hapa mjini, kupata maziwa pure ambayo hayajaongezwa kitu ni kama bahati ya mtende. 😃 Hebu fikiria hii scenario... Aliyekamua maziwa kutoka kwa ng’ombe, akaweka maji kidogo. Yule msambazaji naye akasema, “Ngoja niongeze yangu kidogo.” 😂 Yakafika dukani kwa Mangi, Mangi naye akayaangalia na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tunauza maziwa mtindi na fresh kwa bei nafuu

    Ofa Ofa ya nanenane imewafikia wakazi wa Dodoma mjini pata maziwa fresh na mgando kwa bei nafuu kabisa . Lita kwa 1600 na lita tano kwa 8000 tunafanya derivery bureeee🤹 kwa kiasi chochote maeneo ya mipango na kwa maeneo mengine ya Dodoma mjini mteja atatoa nauli tunapokea odda ya siku ya pili...
Back
Top Bottom