Hapa mjini, kupata maziwa pure ambayo hayajaongezwa kitu ni kama bahati ya mtende😃

Vien

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2020
Posts
8,508
Reaction score
15,276
Hapa mjini, kupata maziwa pure ambayo hayajaongezwa kitu ni kama bahati ya mtende. 😃

Hebu fikiria hii scenario...

Aliyekamua maziwa kutoka kwa ng’ombe, akaweka maji kidogo. Yule msambazaji naye akasema, ā€œNgoja niongeze yangu kidogo.ā€ šŸ˜‚

Yakafika dukani kwa Mangi, Mangi naye akayaangalia na kusema, ā€œHaya maziwa bado mazito sana,ā€ akaongeza maji yake.

Halafu ukaja wewe kununua maziwa hayo kwa ajili ya kupikia chai.

Umefika nyumbani, kwa kuwa familia ni kubwa, ukajiambia: ā€œHaya maziwa hayatoshi, ngoja niongeze maji kidogo ili chai itoshe watu wote.ā€ šŸ˜‚

Sasa hapo ndugu yangu...

Unakuwa umekunywa maziwa au umehamia kwenye kunywa maji yenye historia ya maziwa? 🤣🤣

Maana hayo maziwa yamepitia mikono ya watu wengi kuliko pesa ya chenji. šŸ˜‚
 
Na ukiwa poyoyo utauziwa mpka maji ya mchele.
Ila dasalama!
Screenshot_20260826_174510_Facebook.jpg
 
Hapa mjini, kupata maziwa pure ambayo hayajaongezwa kitu ni kama bahati ya mtende. 😃

Hebu fikiria hii scenario...

Aliyekamua maziwa kutoka kwa ng’ombe, akaweka maji kidogo. Yule msambazaji naye akasema, ā€œNgoja niongeze yangu kidogo.ā€ šŸ˜‚

Yakafika dukani kwa Mangi, Mangi naye akayaangalia na kusema, ā€œHaya maziwa bado mazito sana,ā€ akaongeza maji yake.

Halafu ukaja wewe kununua maziwa hayo kwa ajili ya kupikia chai.

Umefika nyumbani, kwa kuwa familia ni kubwa, ukajiambia: ā€œHaya maziwa hayatoshi, ngoja niongeze maji kidogo ili chai itoshe watu wote.ā€ šŸ˜‚

Sasa hapo ndugu yangu...

Unakuwa umekunywa maziwa au umehamia kwenye kunywa maji yenye historia ya maziwa? 🤣🤣

Maana hayo maziwa yamepitia mikono ya watu wengi kuliko pesa ya chenji. šŸ˜‚
Watu bado mnakunywa chai ya maziwa ya Ng’ombe?
 
Back
Top Bottom