Nakfa
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 12,104
- 16,477
Wapi huko nije kuwatapeliShamba la jirani anauza maziwa mazuri sana

Umeandika "hapa mjini" kama vile wote tunaishi Lindi mjini.Hapa mjini, kupata maziwa pure ambayo hayajaongezwa kitu ni kama bahati ya mtende. 😃
Hebu fikiria hii scenario...
Aliyekamua maziwa kutoka kwa ng’ombe, akaweka maji kidogo. Yule msambazaji naye akasema, “Ngoja niongeze yangu kidogo.” 😂
Yakafika dukani kwa Mangi, Mangi naye akayaangalia na kusema, “Haya maziwa bado mazito sana,” akaongeza maji yake.
Halafu ukaja wewe kununua maziwa hayo kwa ajili ya kupikia chai.
Umefika nyumbani, kwa kuwa familia ni kubwa, ukajiambia: “Haya maziwa hayatoshi, ngoja niongeze maji kidogo ili chai itoshe watu wote.” 😂
Sasa hapo ndugu yangu...
Unakuwa umekunywa maziwa au umehamia kwenye kunywa maji yenye historia ya maziwa? 🤣🤣
Maana hayo maziwa yamepitia mikono ya watu wengi kuliko pesa ya chenji. 😂
siku za nyuma nilipokuwa bongo nilikuwa namuona wife akienda kununua kwa Masista pale boko aisee yale yalikuwa yenyeweHapa mjini, kupata maziwa pure ambayo hayajaongezwa kitu ni kama bahati ya mtende. 😃
Hebu fikiria hii scenario...
Aliyekamua maziwa kutoka kwa ng’ombe, akaweka maji kidogo. Yule msambazaji naye akasema, “Ngoja niongeze yangu kidogo.” 😂
Yakafika dukani kwa Mangi, Mangi naye akayaangalia na kusema, “Haya maziwa bado mazito sana,” akaongeza maji yake.
Halafu ukaja wewe kununua maziwa hayo kwa ajili ya kupikia chai.
Umefika nyumbani, kwa kuwa familia ni kubwa, ukajiambia: “Haya maziwa hayatoshi, ngoja niongeze maji kidogo ili chai itoshe watu wote.” 😂
Sasa hapo ndugu yangu...
Unakuwa umekunywa maziwa au umehamia kwenye kunywa maji yenye historia ya maziwa? 🤣🤣
Maana hayo maziwa yamepitia mikono ya watu wengi kuliko pesa ya chenji. 😂
📌🤣Na ukiwa poyoyo utauziwa mpka maji ya mchele.
Ila dasalama!View attachment 3662898
Usi'jidanganye kunywa Sumu kwa kutegemea Maziwa ya Mjini ⚰️