Ndeshingio
Member
- Jan 8, 2009
- 36
- 17
Nana ya kuutumia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaelewa kabisa unachouza hapa..
Safi seamoss ni biashara nzuri lakini unatakiwa kutoa elimu kwanza sababu wengi hawaijui
Mkuu njoo tuelezee juu ya bidhaa hii.sisi watu wa bara hapo ni kushangaa tu
Nana ya kuutumia
Una ladha gani?!
Mkuu kula makande tuSijaelewa kabisa unachouza hapa..
Nawewe endelea kula chips mayai.Mkuu kula makande tu
Mimi sea moss nazijua, hiyo ndiyo tofauti zetu 😀Nawewe endelea kula chips mayai.
kwani na ww mzubo unaujua?Mimi sea moss nazijua, hiyo ndiyo tofauti zetu 😀
Hii fungulia thread yakekwani na ww mzubo unaujua?
Ina Ladha ya UTELEZI🤣😅Una ladha gani?!