Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

Tsn motors

Member
Joined
Dec 23, 2017
Posts
70
Reaction score
160
UNAWEZA UKANUNUA KWA CASH AU MKOPO.

TARATIBU ZA KUPATA MKOPO WA GARI NI KWA CHASIS NUMBER TU.
●mteja utalipa 50%ya pesa kama utangulizi

●Gari lazima ikatwe bima kubwa&car track(gprs)ndio Dhamana yetu

●Muda wamkopo kuanzia miezi3,6,9,12 kwa magari madogo ama binafsi,kwa magari ya biashara kama tipper,truck,coaster,hiace, buss n.k.ni miezi 12+6

●Mteja atawasilisha passport size,Tin namba,kitambulisho cha Nida au cha kula kwaajili ya usajili wagari lako.

●Utaondoka na gari lako baada tu yakusajiliwa na kufungwa car track&bima.

■Ofisi ipo mikocheni na magomeni usalama Dsm.
■Pia kama unauza gari lako au unahitaji gari tupo kwaajili yako.

C4C7F3FF-6662-49F3-B957-B5A8C7A2BECA.jpeg

9D0DD154-CCE6-4B9A-8EF6-1C6971C01AB9.jpeg

4C84AD4A-3E3E-4349-BB68-1B410B937E69.jpeg

F3E200A4-DB36-479E-BA96-DCA8055B8BC4.jpeg
 
Ni jambo zuri ila Weka details kamili mkuu huenda ukapata watu wa kukuconect na mteja ikiwa huduma yako si ya kuumiza.

Baadhi ya taarifa zinazoweza kuwa na msaada:

Interest ni kiasi gani? Gharama za tracking device zinakuwa za mteja au za kwenu?

Kuna limit ya distance au gari linaweza kutumika popote nchini?

Mikataba yenu ipo certified na wakala wa kumlinda mteja katika mikataba?

Na mambo mengine unaweza kuongeza yenye msaada kwetu wateja.
 
Oooh!! Sawa mkuu

Interest n 3% pekee sio kubwa wala na aimuumizi mteja kwa hali yyt ile naamin ilo.

Gharama za tracking device tunapokupa bei inakuwa imepigiwa umo umo ila kawaida bei yake ni 250,000Tsh pekee na gharama ya kila mwezi n 3,000pekee ivo kwa miez 12 utalipia 36,000Tsh ya track

Gharama ya bima kubwa pia tumeijumuisha kwenye bei kwa kila gari.

Gari inatumika mkoa wowote isitoke tu nje ya Tanzania.

Mikataba yetu ni ya uhakika na ya usalama zaidi huku tukizingatia hatua zote za kisheria.

Pia kwa yoyote anayetaka kuwa anaona mzigo/stock mpya ya magari anaweza kuni dm akanitumia whatsapp number yake🙏🏽
 
Tunashukuru sana. Sababu ni biashara, Tunaomba uweke na namba ya ofisi public mtu akutafute wakati anapoona unafaa maana wengine wanapendelea kubaki kuwa watu wasiojulikana humu JF sasa akikutext akakuomba namba akija kuwasiliana na wewe au akiagiza mtu awasiliane na wewe ni rahisi kumtambua.
 
Tunashukuru sana. Sababu ni biashara, Tunaomba uweke na namba ya ofisi public mtu akutafute wakati anapoona unafaa maana wengine wanapendelea kubaki kuwa watu wasiojulikana humu JF sasa akikutext akakuomba namba akija kuwasiliana na wewe au akiagiza mtu awasiliane na wewe ni rahisi kumtambua
Call/whatsapp
0769177042
 
Gharama za tracking device tunapokupa bei inakuwa imepigiwa umo umo ila kawaida bei yake ni 250,000Tsh pekee na gharama ya kila mwezi n 3,000pekee ivo kwa miez 12 utalipia 36,000Tsh ya track

Sasa tracking ni kwa ajili yenu nyinyi ikiwa mteja atachochora na gari.

Kwanini mnaingiza hizo gharama kwa mteja?.

Biashara yenu bado ina loopholes mkikutana na watu waliobobea kwenye wizi wanaondoka na gari na hamtakaa muwaone popote.
 
Sasa mkuu unategemea track ufungiwe na gharama tuwe tunakulipia mwisho wa mwezi?? Kwel na mtu uwez iba sababu hii gari upewi tu kwa njia za chochoroni unapokimbia apo ina maana ww umejiingiza kwny shida pia na familia yako umeiingiza kwny shida maana mpaka nyumbani tutapafahamu.. Statement za bank , unajishugulisha na nn brother hii n hela kila kitu kina utaratibu
 
Hii imekaa njema hebu kwa faida ya sisi wengine...hebu weka gari 1 dogo...weka na bei weka na bei ya mkopo...na riba zake
Mfano io Toyota wish new model bei yake cash n 19Million

Mkopo ni 20Million

Ukilipa 50% unatoa 10Million ndio unakabidhiwa gari

Jumla pamoja na riba utalipa 20.5Million

4D3E68F1-382A-4F59-B6B0-19541680428F.jpeg

851A064C-6197-4D90-A5B8-D36B9401EE75.jpeg
 
Back
Top Bottom