Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

RACTICS
Total 15.5M
35% 6,500,000Million
inabaki 9,000,000Million

Lipa miez 24
Kila mwezi rejesho 425,000Tsh

50% 7,750,000Million
Inabaki 7,750,000

Lipa miez 12
725,000Tsh kila mwezi

Riba 3%

Tracking fee kila mwezi ni 3,000Tsh
Gprs tracking kufunga 250,000Tsh

Note: Gari lazima ikatiwe bima kubwa

Utawasilisha tin number yako,picha za passport size pia kitambulsho kimojawapo kati ya leseni,nida au cha mpiga kura

Gari lazima ikatiwe bima kubwa pamoja na cartrack(Gprs)

Muajiriwa
Picha 3
Kitambulisho cha uraia
Kitambulisho cha mtu wa karib
Salary slip za miez 3
Kopi ya mkataba wa ajira
Bank statement ya miez 6
Barua ya serikal ya mitaa
Mkuu, 35% ya milioni 15.5 sio milioni 6.5 ni milioni 5.4
Screenshot_20220615_123715.jpg
 
Sihitaji kutetewa na wewe, kuna siku au mahali nilikutumia kadi ya mwaliko uniteteee

unanitetea kwa kipi na kwa lipi? who are you? unaemtetea unamjua au shobo mdundo?

yes niite Tapeli, ukipenda niite CONTROLA man of the match, sijibugi wapumbavu ila

nimekujibu kidogo hii ili ujue kuwa huwa mimi sio mkimya au mpole naongea naandika halafu

zaidi ukizingua nakuzingua,am not that easy panadol so kuwa makini unapo quote maandishi yangu

sijawahi ku quote andishi lako ila muwasho uliokugusa ukakupelekea kuni quote,stay calm sister

sipo kama unavyofikiri "am rude" so kuwa makini mno kabla sijakutaftia MUME maana you seems like uko horny na kitu ikuguse mahala.

Call me kontrola, au Mwenyekiti wa Matapeli as your heart pleased to call me that way. Take care.
Damn bro. Upo smooth kama snoop dog anachana kwenye mic [emoji441] anaflow kwa vina kwa mistari yenye nondo nzito na maneno tata yanayokamata akili na kulipuka na kisogo.
 
UNAWEZA UKANUNUA KWA CASH AU MKOPO.

TARATIBU ZA KUPATA MKOPO WA GARI NI KWA CHASIS NUMBER TU.
●mteja utalipa 50%ya pesa kama utangulizi

●Gari lazima ikatwe bima kubwa&car track(gprs)ndio Dhamana yetu

●muda wamkopo kuanzia miezi3,6,9,12 kwa magari madogo ama binafsi,kwa magari ya biashara kama tipper,truck,coaster,hiace, buss n.k.ni miezi 12+6

●Mteja atawasilisha passport size,Tin namba,kitambulisho cha Nida au cha kula kwaajili ya usajili wagari lako.

●Utaondoka na gari lako baada tu yakusajiliwa na kufungwa car track&bima.

■ofisi ipo mikocheni na magomeni usalama Dsm.
■pia kama unauza gari lako au unahitaji gari tupo kwaajili yako.

View attachment 2204644

View attachment 2204645

View attachment 2204646

View attachment 2204647
Sawa
 
UNAWEZA UKANUNUA KWA CASH AU MKOPO.

TARATIBU ZA KUPATA MKOPO WA GARI NI KWA CHASIS NUMBER TU.
●mteja utalipa 50%ya pesa kama utangulizi

●Gari lazima ikatwe bima kubwa&car track(gprs)ndio Dhamana yetu

●Muda wamkopo kuanzia miezi3,6,9,12 kwa magari madogo ama binafsi,kwa magari ya biashara kama tipper,truck,coaster,hiace, buss n.k.ni miezi 12+6

●Mteja atawasilisha passport size,Tin namba,kitambulisho cha Nida au cha kula kwaajili ya usajili wagari lako.

●Utaondoka na gari lako baada tu yakusajiliwa na kufungwa car track&bima.

■Ofisi ipo mikocheni na magomeni usalama Dsm.
■Pia kama unauza gari lako au unahitaji gari tupo kwaajili yako.

View attachment 2204644

View attachment 2204645

View attachment 2204646

View attachment 2204647
Hamkodishi magari kwa matumizi ya siku au siku kadhaa?
 
Nitafutie basi kwa aili ya njia ya vumbi......
 
Oooh!! Sawa mkuu

Interest n 3% pekee sio kubwa wala na aimuumizi mteja kwa hali yyt ile naamin ilo.

Gharama za tracking device tunapokupa bei inakuwa imepigiwa umo umo ila kawaida bei yake ni 250,000Tsh pekee na gharama ya kila mwezi n 3,000pekee ivo kwa miez 12 utalipia 36,000Tsh ya track

Gharama ya bima kubwa pia tumeijumuisha kwenye bei kwa kila gari.

Gari inatumika mkoa wowote isitoke tu nje ya Tanzania.

Mikataba yetu ni ya uhakika na ya usalama zaidi huku tukizingatia hatua zote za kisheria.

Pia kwa yoyote anayetaka kuwa anaona mzigo/stock mpya ya magari anaweza kuni dm akanitumia whatsapp number yake🙏🏽
Vipi kwa mie ambae mara kwa mara naenda Burundi, Kenya au Uganda na ikiwa gari haitakiwi kutoka nje ya nchi?
 
Back
Top Bottom