Tunauza na kusambaza mayai ya kisasa jijini Dar es salaam

Tunauza na kusambaza mayai ya kisasa jijini Dar es salaam

wounded man

Senior Member
Joined
Feb 2, 2019
Posts
165
Reaction score
243
Habari

Wakuu kwa watumiaji na wauzaji wa mayai tunasambaza mayai kwa bei ya Tsh 7000/= tupo mwenge karibu na kota za JKT,

Pia tunasambaza kwenye migahawani, hotel, wauza chips, maduka ya rejareja, n.k

Kwa mawasiliano naomba njoo pm au comment hapo chini nikufate pm Ahsanten
20190216_124020.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app


UPDATE
Tumepunguza bei ya mayai kutoka elfu saba 7000 mpaka 6500 kwa trey karibuni sana
 
Back
Top Bottom