tunauza na kussuply material na huduma za ujenzi kwa dar na arusha

tunauza na kussuply material na huduma za ujenzi kwa dar na arusha

Architect E.M

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
1,240
Reaction score
1,481
Habari za Kazi wakuu.

Kama kichwa kinavyojieleza, tunauza na kusupply material za ujenzi, kama:

cement,
nondo - 6mm - 32 mm,
mbao (soft wood from iringa za size zote)
gypsum boards & powder,
mabati,
mabomba,
na any other building materials.

Pia tunasupply materials kama mchanga, kokoto, mawe, murrum n.k

prices za kokoto na mchanga zinadepend sana na mahali site ilipo, kwa mfano, ukiwa arusha, mchanga around the vicinity ya mjini ni 350,000/=. na gari zina cubic meters 16.

Screen Shot 2014-08-18 at 10.57.21 PM.png

Vile Vile, nafanya installation za madirisha ya aluminium na UPVC. Madirisha ya aluminium yanacost kuanzia 120,000 mpaka 200,000 per square meter depending na aina ya aluminium na glass utakayoipendelea wewe mteja. But quality is our number one priority.

Pia tunafanya kazi za magrille ya milango na madirisha.

Screen Shot 2014-08-18 at 11.02.19 PM.png


Lastly, pia tunafanya kazi za landscaping, paving na shades za kukinga magari na jua kali.

Prices zinavary kulingana na quantity aliyonayo mteja, ila roughly, best quality paving (80 mm thick) inakua supplied kwa around 30,000 per square meter.

Screen Shot 2014-08-18 at 10.59.47 PM.png

Ni vigumu kutaja product zetu zote kwa maana ni nyingi, lakini we do deliver very good building materials and services, at very affordable prices. Pia hua tunatoa retention period, (guarantee) katika kazi zetu zote.

Tuna historia nzuri ya kufanya kazi na wana J.F wengi, na wamefurahia services zetu.


Tunapatikana:

Sinza 'E' na Goba kwa Dar-es-salaam,

Nia - njema - Bagamoyo Pwani,

Njiro - Arusha

Usa-river - Arusha.

Mawasiliano:

call, text or whatsapp - +255 785 13 16 16.

call or text + 255 717 32 13 36.

call or text + 255 758 50 21 35.

Natanguliza shukran za dhati.

Asanteni sana.
 
Back
Top Bottom