Tunauza nguo Kali za kiume kwa bei nafuu sana

Tunauza nguo Kali za kiume kwa bei nafuu sana

zaynab applw

Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
55
Reaction score
38
Habar ndugu zangu Tunauza nguo za kiume kutoka Uganda T shirt na jeans jumla na reja reja
T-shirts jumla 14000 reja reja 20000 jeans jumla 22 reja reja 30000 had 25000
Mawasiliano 0716666234
0654695943
Mzigo unatumiwa popote ulipo
d0a67ec165a7f747a3b488a6eb4ee6b8.jpg
5125646f4ab5bf0dc50b817cbfb89758.jpg
34cac549972973a20ffc6b8546904256.jpg
ce70fe28d939421f87af045dae126576.jpg
 
Tshirt na jeans zifungue zionekane muonekano wake
 
Ni kutoka Uganda? ndio kusema wao ndio wanazizalisha?

Lini nasi tutazalisha ili tuuziane vya kwetu, Eee Mungu.
 
Ni kutoka Uganda? ndio kusema wao ndio wanazizalisha?

Lini nasi tutazalisha ili tuuziane vya kwetu, Eee Mungu.
Hata mm sielewi yani TZ tumeshindwa kutengeneza nguo yani inabidi tukanunue UG kweli? Tuombe tu TZ ya viwanda itufikishe mbali
 
Uganda wameendelea sana.
Kumbe now days wana viwanda vya nguo kali hivi..!
 
Back
Top Bottom