zaynab applw
Member
- Nov 30, 2016
- 55
- 38
Karibu ndugu tupo dar mwanza tabora Ila mikoa mengine pia tunatuma mzgoSafi...mpo WAP na how about contact..?
Safi...mi nipo APA Moro town...leta mzgoKaribu ndugu tupo dar mwanza tabora Ila mikoa mengine pia tunatuma mzgo
Contact :0716666234
:0654695943
Sio rejareja tu..hata jumla!!sijawaelewa..Hiyo bei mpo serious? kweli? naongelea ya rejareja
Tupo serious mkuuHiyo bei mpo serious? kweli? naongelea ya rejareja
Sawa mkuu karibu chukua contact tuwasilianeSafi...mi nipo APA Moro town...leta mzgo
NdioHyo ndo bei rahisi
Kwann nduguHyo bei hamko serious kwa rejereja.
Haya Ahsante na karibu sanaDaaah sawa biashara njema
Kwann ndugu
Hata mm sielewi yani TZ tumeshindwa kutengeneza nguo yani inabidi tukanunue UG kweli? Tuombe tu TZ ya viwanda itufikishe mbaliNi kutoka Uganda? ndio kusema wao ndio wanazizalisha?
Lini nasi tutazalisha ili tuuziane vya kwetu, Eee Mungu.