zaynab applw
Member
- Nov 30, 2016
- 55
- 38
- Thread starter
-
- #21
Habar ndugu zangu Tunauza nguo za kiume kutoka Uganda T shirt na jeans jumla na reja reja
T-shirts jumla 14000 reja reja 20000 jeans jumla 22 reja reja 30000 had 25000
Mawasiliano 0716666234
0654695943
Mzigo unatumiwa popote ulipo
Walisema wanajenga viwanda 100,000, nyie mkawasomea Albadir, ndio basi albadir imeenda na viwanda!Ni kutoka Uganda? ndio kusema wao ndio wanazizalisha?
Lini nasi tutazalisha ili tuuziane vya kwetu, Eee Mungu.
Kwani uzi umeusoma hukuuelewa? Mbona namba hizo wameweka hapo au hujamaliza kuisoma hii mada!Safi...mpo WAP na how about contact..?
Unauhakika unachosema ushawah kwenda pia unatakiwa utambue ubora wa nguo unatofautiana hiz c hizo unazotajaDah tshirt uganda ni 1500-2000 ambayo haizd ata 5000 ya bongo ,,dah mnatupiga asee ebu shusha shusha