Tupo njiani tunakuja na mana Wakuru tukitokea Nyamuswa.Mambo yenu ni mema sana.
Zipo bado napost boss
View: https://youtu.be/LWrGHYaq65I?si=pmgAmKYORhEtu-EW
Za kumvalisha Bae ili nimpeleke kwa Maza nyumbani zipo ???
MashaAllah!ππππSawa karibuni
Hiii nyimbo inanikumbusha kipindi flan tulikua tunacompete kumpata mrembo flan kule kijijini, mshindani wangu alikua kanizidi kila kitu mwisho wa siku akapita naeπI wish ingekua saivi
View: https://youtu.be/LWrGHYaq65I?si=pmgAmKYORhEtu-EW
Za kumvalisha Bae ili nimpeleke kwa Maza nyumbani zipo ???
Haikuwa riziki yako Mzee mwenzangu, moja ya vitu ambavyo huwa havinipi pressure ni Mademu na hela πππHiii nyimbo inanikumbusha kipindi flan tulikua tunacompete kumpata mrembo flan kule kijijini, mshindani wangu alikua kanizidi kila kitu mwisho wa siku akapita naeπI wish ingekua saivi